MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Frank Wanjiru tungependa kusikia msimamo wako kwenye hili , usimba wako usikupofushe macho
Zilikua ni stori za alinicha kutoka kwa mleta mada ambaye ni dhahir shahir ana chuki za wazi na wivu wa kike na Karia pitia posts zake zote utaona.Msomali alikuwepo uwanjani sijui kama wazomeaji.waliweza kuzomea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kuna jambo nyuma maana kamwandama kinoma, inawezekana akilala anamuota Karia, hakuna kitu kibaya kama kugongewa mkeVipi mkuu karia kakuchukulia make nini? Maana umemwandama sana! Halafu alikuwepo uwanjani lkn mbona hiyo zomea hatujaiona?
Huyo karia mjinga mjinga sana nimemsikia kauli zake kadhaa!!anataka kuhusisha sana tff na utawala wa jpm huku akitaka kama kuifanya tff ya ccm!!Hii ni taarifa ambayo tayari imezagaa mitaa yote ya Temeke , maeneo ya Chuo kikuu DUCE na Bar zote zinazozunguka Uwanja wa Taifa .
Tukio hili laweza kuwa onyo na angalizo kwa viongozi wengine wa soka wanaoingiza itikadi za kishamba za vyama vyao vya siasa kwenye masuala muhimu na nyeti ya Soka , Soka na michezo mingine ndio eneo pekee.ambalo watu wa itikadi tofauti wanakutana , kuingiza masuala ya kisiasa ni sawa na kutaka kuleta vurugu kwa makusudi
utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !