W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 977 Reaction score 1,966 Sep 9, 2025 #1 Ikiwa mikutano ya kupiga kampeni kuendelea nchini. Chama cha CCM kwenye mojawapo wa mikutano yao wameonekana kuwanyima wanachama waliohudhuria kupiga picha wala kirekodi katika mikutano hiyo. Kwani nini kinaendelea? Your browser is not able to display this video.
Ikiwa mikutano ya kupiga kampeni kuendelea nchini. Chama cha CCM kwenye mojawapo wa mikutano yao wameonekana kuwanyima wanachama waliohudhuria kupiga picha wala kirekodi katika mikutano hiyo. Kwani nini kinaendelea? Your browser is not able to display this video.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Sep 9, 2025 #2 fail sasa kila kitu kinajulikana ushenzi wao hawa mbwa ccm
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,921 Reaction score 3,390 Sep 9, 2025 #3 Selfie ya mama inatosha
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 3,253 Reaction score 4,824 Sep 9, 2025 #4 Kamera za wananchi sio salama sana
BoyOfGod JF-Expert Member Joined Jan 3, 2019 Posts 1,256 Reaction score 1,811 Sep 9, 2025 #5 Hawajiamini bado
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 9, 2025 #6 Inashangaza sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 9, 2025 #7 Ukweli utabainika... No edit, no filter... Cc: Mahondaw