Wananchi wako busy na usajili wa Simba na Yanga, wanasiasa tumieni huu muda kusaka pesa za kampeni

Watu mitaani ni ubishi kubishana na mausajili 😄

Ova
 
Mchawi mpe mwanao akulekee, si hata hizo pesa za usajili ni za wanasiasa ambazo ndo za mimi na wewe yani kodi zetu.

Mpira wa tz ni Siasa mbadala inayoliangamiza taifa hili.
 
Kwahiyo CCM wana fungu Simba na Yanga la kuwahadaa wananchi?
 
Back
Top Bottom