Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nakazia! Tumia muda huu kukwiba na kusaini mikataba ya kuuza nchi mpaka wananchi wakose mahali pa kukaa ili akiri ziwarudiBahati haiji mara mbili.
Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
SawaBahati haiji mara mbili.
Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
Huu ndio muda wa kupiga pesaWatu mitaani ni ubishi kubishana na mausajili 😄
Ova
Yes. Sasa inabidi watu watumie muda kwa ustadiNakazia! Tumia muda huu kukwiba na kusaini mikataba ya kuuza nchi mpaka wananchi wakose mahali pa kukaa ili akiri ziwarudi
Nikishasikia mtu anajadili mambo ya simba na yanga kwa sauti ya juu huwa namdharau sana.Watu mitaani ni ubishi kubishana na mausajili 😄
Ova
Kama kipindi cha kifo cha jiwe.Kweli nikupiga mishindo mapema Sana.
Nikishasikia mtu anajadili mambo ya simba na yanga kwa sauti ya juu huwa namdharau sana.
Kama kipindi cha kifo cha jiwe.
Wajinga wako busy kumwomboleza dhalimu wajanja wakapiga pesa
Upo sahihi taifa lina vijana wajinga wengi wapo busy na mpiraBahati haiji mara mbili.
Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
Ndiyo maana maza ananunua magoli wajisahau aendelee kupiga pesa yeye na genge lakeNikishasikia mtu anajadili mambo ya simba na yanga kwa sauti ya juu huwa namdharau sana.
Kwahiyo CCM wana fungu Simba na Yanga la kuwahadaa wananchi?Mchawi mpe mwanao akulekee, si hata hizo pesa za usajili ni za wanasiasa ambazo ndo za mimi na wewe yani kodi zetu.
Mpira wa tz ni Siasa mbadala inayoliangamiza taifa hili.
Hilo ndo jibu sahihi zaidi.Kwahiyo CCM wana fungu Simba na Yanga la kuwahadaa wananchi?