Pre GE2025 Wananchi wako tayari kuchangia mishahara ya Wafanyakazi wa Tume Huru kama wanavyochangia mbio za mwenge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sasa kama unachangia ujinga wa Mwenge utashindwaje kuchangia Tume huru ?
Ndio mana nakuuliza unaropoka au unafikiria? Huo mwenge ushawahi ona watu wanakubali kuchangia au wanalazimishwa walimu kuchangia? , Binafsi sijawahi changia mwenge, kama mnataka sana hio tume huru toeni hela zenu sio kuleta michango isiyo na kichwa wala miguu
 
Hapa hoja ya msingi ni wakurugenzi kuingia kwenye mtego wa Mgongano wa kimaslahi kwenye uchaguzi. Hii ni pamoja na Rais mwenyewe,Wabunge na Madiwani.iwapo wataachwa waendelee kusimamia kuna uwezekano wa wananchi wengi kutopiga kura.
Mimi nikiwemo
 
Nyumbu tu ndio watakakuelewa.
 
Mmeshindwa kuchangia +255 mtaweza
 
Swali la mwisho , Je unataka kuwe na Tume huru ya Uchaguzi ?
 
Swali la mwisho , Je unataka kuwe na Tume huru ya Uchaguzi ?
I don't care about it, hizi kelele za tume huru ni njaa tu za watu kupata mkate wao, na wala sio kwa ajiili ya maendeleo ya wote,
 
Mkuu usi panic na huyo mtandika kitanda wa Mbowe. Hana lolote yeye anajua join the chain wagawane na hana uwezo wowote wa kuleta michango anayosema. Ni chawa pro max.
 
Wananchi wa Mwakaleli
 
wachaga mmeshabuni ulaji. Maana wabarikiwa mmebuni ulaji kwenye vifo, kwenye harusi, sijuwi kipaimara na kila aina ya mkusanyiko, uwe wa furaha au huzuni. Sasa mnaingiza ubunifu wenu wa kutafuta pesa kwa njia yoyote ile kwenye siasa.

Mmeniwacha hoi.
 
Ukabila unakudhalilisha sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…