GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jina la ile stendi litabadilishwa au ndio litaendelea ili kumuenzi?
 
NDUGU ZANGU WATANZANIA. TUSIKEJELI MTU AMBAE HANA UWEZO WA KUJITETEA ALIKUA MZIMA JUZI TU MNGE MALIZIA HASIRA ZENU. MSIFANYE HIVO TUNAANDA KIZAZI KIBAYA.

R.I.P MR JOB .KAMA ULINIKOSEA NMEKUSAMEHE

Kwishaaaaaaa
 
Forget that,labda nadhani ndugai alikuwa mgonjwa kwa namna fulani,tutakumbuka aliwahi kupelekwa india kwa shida za kiafya/ na siyo hayo chadema wanayoyafikiri,
Rip, Job ndugai,umetangulia katika makazi yetu sote ya milele.
 
OK basi sawa
 
hawa ni wehu, ndugai aliwakosea nini?
 
Baada ya kuliuwa bunge anakusanuwa nini wakati kazi ya bunge ni kusimamia serikali?

Wabongo ndio maana tunachezewa sana, Ndugai ni mshenzi sana wanaosherehekea kifo chake wapo sahihi.
Mwendo kaumaliza watu wa jimboni kwake walimkinai jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…