Dah kuna daraja siku hizi? gvaleDah...na huko pia nasikia daraja limesombwa ...mvua hizi...dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Mzee sio Kila kitu lazima ujibu kama ushafika nyamisati lazima ujue Kila jioni coaster zaidi ya 5 zinarundika watu toka mbagala...halafu wote huwa we kwenye hema moja kusubiri usafiri...so sioni tatizo la habari ya mtoa mada.....suluhisho la kumaliza geti pale lifanywe kwa kasi ili hata bakhresa apeleke botiUnashusha hadhi ya taarifa yako kwani unaweka utani, ukilala siku tatu njiani unapata Corona! Huu ni utani. Inaelekea haujui Corona inaambikizwa vipi, hatuwezi kupata Corona kama haujakutana na mtu aliyekuja nayo toka sehemu yenye ugonjwa, bora ungesema watapeana mimba zembe.
Kwani ni lazima wasafiri?Wanahoji Serikali iko wapi na hata kusahau kabisa?
Hivyo vyombo chakavu ni vyombo vya madon wa huko ambao wanapinga vyombo vipya kupelekwa kwakua vita waharibia mapato.Nadhani hakuna nia njema ya kupata ufumbuzi wa hii safari ya Mafia kupitia Nyamisati.Toka zama hizo hali bado ni tete,miaka ya nyuma nilisafiri kupitia hapo,ni majanga.
Wananchi wa Mafia na Rufiji siku mtakapo chagua wapinzani ndiyo serikali itawasikia katika hili.
Sent using Jamii Forums mobile app