Wananchi wakwama kutoka Nyamisati kuelekea Mafia kwa siku 3. Fedha zawaishia na sasa wanahofia kuambukizana Corona

Wananchi wakwama kutoka Nyamisati kuelekea Mafia kwa siku 3. Fedha zawaishia na sasa wanahofia kuambukizana Corona

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
20200322_092512_0000.png

Wananchi wa Nyamisati wilayani Rufiji wamelalamika kukosa usafiri kwa takribani siku 3 wa kuwapeleka kisiwani Mafia hivyo kusababisha mlundikano ambao wanahofia unaweza pelekea maambukizi ya #coronavirus

> Aidha, wamedai kuishiwa pesa za matumizi

> Wanahoji Serikali iko wapi na hata kusahau kabisa?
 
Upvote 0
Poleni Sana
Serikali Ya Wanyonge Sikivu Italifanyia Kazi Haraka
Nadhani Ulisikia Moto Uliowashwa Kiyegea Morogoro
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Hataki Wananchi Wapate Tabu!!
 
Dah...na huko pia nasikia daraja limesombwa ...mvua hizi...dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
JamiiTalks, Nadhani hakuna nia njema ya kupata ufumbuzi wa hii safari ya Mafia kupitia Nyamisati.Toka zama hizo hali bado ni tete,miaka ya nyuma nilisafiri kupitia hapo,ni majanga.

Wananchi wa Mafia na Rufiji siku mtakapo chagua wapinzani ndiyo serikali itawasikia katika hili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashusha hadhi ya taarifa yako kwani unaweka utani, ukilala siku tatu njiani unapata Corona! Huu ni utani. Inaelekea haujui Corona inaambikizwa vipi, hatuwezi kupata Corona kama haujakutana na mtu aliyekuja nayo toka sehemu yenye ugonjwa, bora ungesema watapeana mimba zembe.
 
Baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna sehemu Tanzania inapita siku tatu bila usafiri.Shikamoo ccm
 
Mzee sio Kila kitu lazima ujibu kama ushafika nyamisati lazima ujue Kila jioni coaster zaidi ya 5 zinarundika watu toka mbagala...halafu wore huwa wanalalamika kwenye hema moja kusubiri usafiri...so sioni tatizo la habari ya mtoa mada.....suluhisho la kumaliza geti pale lifanywe kwa kasi ili hata bakhresa apeleke boti
 
Unashusha hadhi ya taarifa yako kwani unaweka utani, ukilala siku tatu njiani unapata Corona! Huu ni utani. Inaelekea haujui Corona inaambikizwa vipi, hatuwezi kupata Corona kama haujakutana na mtu aliyekuja nayo toka sehemu yenye ugonjwa, bora ungesema watapeana mimba zembe.
Mzee sio Kila kitu lazima ujibu kama ushafika nyamisati lazima ujue Kila jioni coaster zaidi ya 5 zinarundika watu toka mbagala...halafu wote huwa we kwenye hema moja kusubiri usafiri...so sioni tatizo la habari ya mtoa mada.....suluhisho la kumaliza geti pale lifanywe kwa kasi ili hata bakhresa apeleke boti
 
Wanahoji Serikali iko wapi na hata kusahau kabisa?
Kwani ni lazima wasafiri?
Wameshaabiwa hakuna kulundikana,kwa hiyo hakuna chombo kipo tayari kuondoka na watu 10 ni hasara,wakae tu rufiji au wapige mbizi
 
Nadhani hakuna nia njema ya kupata ufumbuzi wa hii safari ya Mafia kupitia Nyamisati.Toka zama hizo hali bado ni tete,miaka ya nyuma nilisafiri kupitia hapo,ni majanga.

Wananchi wa Mafia na Rufiji siku mtakapo chagua wapinzani ndiyo serikali itawasikia katika hili.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vyombo chakavu ni vyombo vya madon wa huko ambao wanapinga vyombo vipya kupelekwa kwakua vita waharibia mapato.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom