mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,344 Reaction score 12,472 Apr 25, 2021 #1 Ni kutoka Kijiji cha mbagamawe wamedai kupigwa na kuchomewa nyumba zao kwa miaka zaidi ya mitano Sasa Huku wakilalamikia watu wanaodaiwa ni Askari wawanyama pori maarufu Kama game Chanzo Cha habari ni radione tz
Ni kutoka Kijiji cha mbagamawe wamedai kupigwa na kuchomewa nyumba zao kwa miaka zaidi ya mitano Sasa Huku wakilalamikia watu wanaodaiwa ni Askari wawanyama pori maarufu Kama game Chanzo Cha habari ni radione tz
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,914 Reaction score 168,320 Apr 25, 2021 #2 Wananchi wanateswa na wanyama, wanateswa na Askari, wanateswa na CCM
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,277 Apr 25, 2021 #3 Yaani miaka mitano ya mateso na hakuna wa kuwatetea.. !?