Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
KWANI KESHAKUJA? Maana kama muda anaokuja unajulikana, halafu bado haujafika, ya nini kujaa saa hizi?Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.
Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.
Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Countrywide, nadhani ana asili ya umbea na majungu. Lolote analolileta ni la kupuuza. Haaminiki kwa lolote.Ila mwamba unahangaika Sana na Chadema aisee. Sana yaani. Yaani chadema inakuchukulia muda wako na feelings zako na akili yako kuliko inavyowachukila hivyo vitu Wana chadema wenyewe.
Ulisema uko mwanza ukaripoti walivyofeli kupata watu, kesho yake ukasema upo Musoma watu wameisusa chadema leo unasema uko airport kwenye mapokezi ya lisu
Ujue Wana chadema wengi tu saa hizi wako makazini kwao easy tu au wengine wako na wapenzi wao wamekumbatiana Wana enjoy maisha ila wewe kiguu na njia kila ilipo chadema
Amemis dushelele la Lissu, ndiyo maana kawahi. Mwambieni akamngoje nyumbani kwake usiku tukitoka TemekeUkipewa taraka mnaanza kulalamika Asubui yote hii badala upike chai na mihogo unywe na mme wako we unakimbilia umbeya
Mwanza picha mnalikuwa mna chukua kwa mbele sio kama enzi za lowasa mnachukua kwa droneHata
Mwanza mlisema hivyo hivyo, baadae mkaamia kwenye hotuba ya Mbowe.
Tulia, Wapo njiani wanakujaNipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.
Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.
Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Kosa langu lipi hapo? Kama hiyo ndio kazi yangu?Ila mwamba unahangaika Sana na Chadema aisee. Sana yaani. Yaani chadema inakuchukulia muda wako na feelings zako na akili yako kuliko inavyowachukila hivyo vitu Wana chadema wenyewe.
Ulisema uko mwanza ukaripoti walivyofeli kupata watu, kesho yake ukasema upo Musoma watu wameisusa chadema leo unasema uko airport kwenye mapokezi ya lisu
Ujue Wana chadema wengi tu saa hizi wako makazini kwao easy tu au wengine wako na wapenzi wao wamekumbatiana Wana enjoy maisha ila wewe kiguu na njia kila ilipo chadema
Atakufa tu. Ni suala la muda. Hakuna binadamu ataishi milele. kifo ni haki ya kila binadamuMbona sukuma gang mnahangaika kiasi hiki?
Mlitamani afe lkn Mungu amewapiga bao
Hjyo ndio kazi yangu. Uliza lingineHuna kazi?
Ndege aliyopanda Lisu inatua saa 7 mchana, mpaka kutoka nje, huenda itakuwa karibia saa 8 mchana, wewe sahizi asubuhi umekwishafika airport, umeenda kufanya nini? Au ni mjumbe wa kamati ya mapokezi?

Wewe Mwalimu huna akili. 2023 kijana mdogo unaenda kuwa mwalimu wa halmashauri.Ukipewa taraka mnaanza kulalamika Asubui yote hii badala upike chai na mihogo unywe na mme wako we unakimbilia umbeya
Ndio natafuta hapo, au unafikiri kutafuta mpaka niwe na duka kkooAcha umbea tafuta hela sio unapoteza hela ovyo
Mabwana nimekuachia wewe, mbona hofu. Au hawakutoshi?Saa mbili asubui umeenda kutafuta bwana?
Dada unafuatilia sana maisha ya wanaume,vipi wewe ni mjane au singo Maza?Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.
Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.
Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
πππππHuna shughuli ya kufanya ,juzi ulikuwa mwanza leo dar,mwaka huu usipoolewa ,huolewi tena
ππππSaa mbili asubui umeenda kutafuta bwana?
Uchawa si mpangoπNipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.