Wananchi wamesusa mapokezi ya Lissu. CHADEMA imefeli

Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.

Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?

Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.

Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.

Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
KWANI KESHAKUJA? Maana kama muda anaokuja unajulikana, halafu bado haujafika, ya nini kujaa saa hizi?
 
Ila mwamba unahangaika Sana na Chadema aisee. Sana yaani. Yaani chadema inakuchukulia muda wako na feelings zako na akili yako kuliko inavyowachukila hivyo vitu Wana chadema wenyewe.

Ulisema uko mwanza ukaripoti walivyofeli kupata watu, kesho yake ukasema upo Musoma watu wameisusa chadema leo unasema uko airport kwenye mapokezi ya lisu

Ujue Wana chadema wengi tu saa hizi wako makazini kwao easy tu au wengine wako na wapenzi wao wamekumbatiana Wana enjoy maisha ila wewe kiguu na njia kila ilipo chadema
Countrywide, nadhani ana asili ya umbea na majungu. Lolote analolileta ni la kupuuza. Haaminiki kwa lolote.
 
maisha yenyewe magumu
watu wapo busy kusaka tonge
hawana muda wa kupoteza
 
Ukipewa taraka mnaanza kulalamika Asubui yote hii badala upike chai na mihogo unywe na mme wako we unakimbilia umbeya
Amemis dushelele la Lissu, ndiyo maana kawahi. Mwambieni akamngoje nyumbani kwake usiku tukitoka Temeke
 
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.

Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?

Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.

Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.

Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Tulia, Wapo njiani wanakuja
 
Attachments

  • IMG_20230125_103429.jpg
    IMG_20230125_103429.jpg
    527.8 KB · Views: 5
Ila mwamba unahangaika Sana na Chadema aisee. Sana yaani. Yaani chadema inakuchukulia muda wako na feelings zako na akili yako kuliko inavyowachukila hivyo vitu Wana chadema wenyewe.

Ulisema uko mwanza ukaripoti walivyofeli kupata watu, kesho yake ukasema upo Musoma watu wameisusa chadema leo unasema uko airport kwenye mapokezi ya lisu

Ujue Wana chadema wengi tu saa hizi wako makazini kwao easy tu au wengine wako na wapenzi wao wamekumbatiana Wana enjoy maisha ila wewe kiguu na njia kila ilipo chadema
Kosa langu lipi hapo? Kama hiyo ndio kazi yangu?
 
Huna kazi?

Ndege aliyopanda Lisu inatua saa 7 mchana, mpaka kutoka nje, huenda itakuwa karibia saa 8 mchana, wewe sahizi asubuhi umekwishafika airport, umeenda kufanya nini? Au ni mjumbe wa kamati ya mapokezi?
Hjyo ndio kazi yangu. Uliza lingine
 
Huna kazi?

Ndege aliyopanda Lisu inatua saa 7 mchana, mpaka kutoka nje, huenda itakuwa karibia saa 8 mchana, wewe sahizi asubuhi umekwishafika airport, umeenda kufanya nini? Au ni mjumbe wa kamati ya mapokezi?
Hjyo ndio kazi yangu. Uliza lingine
 
Ukipewa taraka mnaanza kulalamika Asubui yote hii badala upike chai na mihogo unywe na mme wako we unakimbilia umbeya
Wewe Mwalimu huna akili. 2023 kijana mdogo unaenda kuwa mwalimu wa halmashauri.
 
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.

Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?

Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.

Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.

Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Dada unafuatilia sana maisha ya wanaume,vipi wewe ni mjane au singo Maza?
Fanya yako kama huna sema tukuwezeshe.
 
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.

Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?

Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.

Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.

Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Uchawa si mpango😂
 
Kachukue buku saba yako wewe tulikuagiza airport, kule mwembe yanga kuna mwingine tumemtuma.

NB: picha utume za terminal 2 na sio terminal 3.
 
Back
Top Bottom