Wananchi wamesusa mapokezi ya Lissu. CHADEMA imefeli

Weka picha tuone wewe chawa wa mama
 
Wakuu wa Wilaya wamesha teuliwa. Kaa kimya, chawa. Tafuta mkeka wa wakuu wa wilaya. Jina lako hamna.
 
Ila mbona mapema sana. Walisema ndege inatua saa saba mchana. Pamoja kwamba binafsi simpendi huyo mwamba kwa siasa zake nina hakika wapo kindakindaki wapenzi wake watafika hapo kumpokea.
Tuendelee kusubiri ila binafsi ningefurahi mapokezi yake yakipooza. Huyu sio mwanasiasa mwenye faida kwa utulivu na maendeleo kiuchumi ya tanzania..
 
Si alikuwa anapinga ununuzi wa ndege?

Anakuja na ndege ya nani?
 
Huna kazi ya kufanya hapo ofisi ndogo za lumumba mpaka uende uwanja wa Ndege kumsubiria Lissu!!
 
Usisahau tupicha mkuu,..
 
Nami namshangaa sana huyu dada Countrywide .
Aliripoti kuwa mkutano wa Mwanza umedoda.
Akaripoti kuwa Mara napo watu hawana habari na mkutano.
Leo anaongelea ya Dar ambapo tumeona hali halisi kwenye UTV -Dira ya mchana mubashara toka JKNIA.

Mods tafadhali msiendelee kuwabeba watu waongo waongo kama huyu jamaa,maana inaondoa ile heshima iliyojiwekea JF kwa zaidi ya muongo mmoja.
 
S/gang utapata taabu san mwaka huu, na bado utajua ujui 🤣🤣🤣
 
Achana na hicho kimalaya kimeungua kinasambaza ngwengwe kwa kasi ya 5G
 
Watu wamejitokeza wengi sana labda wewe hauko kwenye eneo la mapokezi!!
 
Bil
BIla picha wewe ni mbea tutolee taarabu zako hapa
 
Karibu kwenye mapokezi, chawa mtakufa kwa presure leo.
Lisu ni kiboko yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…