Wananchi wamesusa mapokezi ya Lissu. CHADEMA imefeli

Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.

Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?

Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.

Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.

Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Hv mwenye akili timamu aende Airport kumsubiri Lissu uache kufanya kazi ya kukuingizia kipato kwenye jiji hili?.Labda kama huna cha kufanya hapa town mweeh
 
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.

Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?

Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.

Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.

Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
FnUYDz5XEAETQnu
 
Muda si mrefu utapata Mimba na mtoto utamwita CHADEMA...
 
Ila Mwananchi nao. Kwani wangesema amepokelewa na maelfu wangepungukiwa nini? [emoji51][emoji51][emoji51]
Screenshot_20230125-161121_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom