Rais Magufuli akiwa anaelekea Mwanza amewashawishi wananchi wamchague diwani wa ccm na Mbunge wa ccm lakini wananchi hao wamezomea na kukataa mbele ya Rais Magufuli
Wananchi hao wa kata ya kiloleni jimbo la Busega ambalo mgombea wao pendwa Bwana chegeni amekatwa jina lake wakati aliongoza kura za maoni wamekasirika mbele ya Rais kwa kuzomea
Mwananchi mmoja ameomba kuelezea tatizo ,Mwananchi huyo wa ccm amesema mbunge na diwani wa ccm bwana Magoti hawafai
Rais amesisituza wakichagua mgombea mungine watajuta
Akitumia kilugha ambacho mimi sikuelewa ni lugha gani akiweka msisitizo,Aidha lugha hiyo ya utamaduni bado haikusaidia zomea zomea hiyo
Muda huu yupo live TBC saa tano
Wananchi wameweka ngumu na Rais anasema hatapeleka lami
Hapa ndipo rais anapokosa busara. Barabara si hisani.. kwamba yeye anatoa zawadi. Ni jukum lake.
Hii mambo ya kufanya huduma ni za hisani wkt watoa kodi ni watanzania. Ni upumbavu
Aisee comrade fanyeni kikao cha dharura mumpange upya Mzee Pombe maana tangu mkutano Shinyanga ametoka nje ya mstari amekua ni mtu wa jabza na vitisho kwa wapiga kura π€£π€£π€£
Aisee comrade fanyeni kikao cha dharura mumpange upya Mzee Pombe maana tangu mkutano Shinyanga ametoka nje ya mstari amekua ni mtu wa jabza na vitisho kwa wapiga kura π€£π€£π€£