Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Mzee Pombe pumzi imekata mapema sana hadi amefika hatua anawatisha wapiga kura 🤣🤣🤣
Safi sanaMwananchi mmoja ameomba kuelezea tatizo ,Mwananchi huyo wa ccm amesema mbunge na diwani wa ccm bwana Magoti hawafai
Magufuli hatakiwi kabisaHuu mwaka una vituko haswa yaani kila leo kinaibuka kioja kipya
Sisi ndio waajiri wake,kila kinachofanyika sio msaada wala ombi ni jambo la lazima,wanakata kodi kila kitu,kwenye mishahara ndio usiseme.Halafu unatishi upeleki barabara badala ya kulitafutia utatuzi (hapo amefail sana).Shida Tz hakuna vyama vya siasa vya upinzani vyenye misimamo,wamejaa "wasaka tonge" wacha sisiemu waendelee kuongoza.JPM Nimeona kachukia kwelikweli mpaka akaanza kuwatisha kuwa sileti barabara!
Kweli kabisa siasa ni sayansi na sio jazba na vitisho kwa wapiga kura.Bwashee Siasa ni sayansi!
Mwache asomweshwe namba na yeye,ahahahaRais Magufuli akiwa anaelekea Mwanza amewashawishi wananchi wamchague diwani wa ccm na Mbunge wa ccm lakini wananchi hao wamezomea na kukataa mbele ya Rais Magufuli
Wananchi hao wa kata ya kiloleni jimbo la Busega ambalo mgombea wao pendwa Bwana chegeni amekatwa jina lake wakati aliongoza kura za maoni wamekasirika mbele ya Rais kwa kuzomea
Mwananchi mmoja ameomba kuelezea tatizo ,Mwananchi huyo wa ccm amesema mbunge na diwani wa ccm bwana Magoti hawafai
Rais amesisituza wakichagua mgombea mungine watajuta
Akitumia kilugha ambacho mimi sikuelewa ni lugha gani akiweka msisitizo,Aidha lugha hiyo ya utamaduni bado haikusaidia zomea zomea hiyo
Muda huu yupo live TBC saa tano
Wananchi wameweka ngumu na Rais anasema hatapeleka lami
Wananchi wanamjibu hatumtaki wala hatumchagui Bwana Magoti diwani
Kazi kazi kweli kweli
Nipo LAMADI..Busega na Shinyanga mjini andikeni MAUMIVU ...WANYANTUZU WAMEAMUWA ...bhageshi choChegeni na Masele wanamhujumu Magufuli.Anyway subiri uchaguzi uishe kitaeleweka
Wananchi wamemcheka tu kwa kuwa hata Yeye atakuwa Raia wa Kawaida tu kuanzia 28th OctoberJPM Nimeona kachukia kwelikweli mpaka akaanza kuwatisha kuwa sileti barabara!
This time hachaguliwi yeyemaendeleo hayana vyama, hapohapo mkichagua upinzani sileti lami.