Uchaguzi 2020 Wananchi wamkataa Diwani na Mbunge mbele ya Rais Magufuli kata ya kiloleni Busega

Rais Magufuli akiwa anaelekea Mwanza amewashawishi wananchi wamchague diwani wa ccm na Mbunge wa ccm lakini wananchi hao wamezomea na kukataa mbele ya Rais Magufuli
Hawatapelekewa huduma
 
Hiyo ndiyo ccm. Wanaopita ni watu wa mfukoni mwa mkuu na ndiyo maana anamweka anayemtaka.
Baada ya zomea zomea kuwa kubwa, alisikia akisema nyamazeni, na msiponyamaza nitaondoka. Nilitegemea aondoke baada ya kukasirika, bali alibaki akiwatishia kuwa watajuta wakimchagua mtu mwingine.
 

Magu asiwafokee watu. Fedha si zake. Ni Kodi zetu. Kwanza tarehe 28 October 2020 sisi wananchi wa Tanzania tuna JAMBO LETU dhidi yake.
 
Halafu mgombea Ubunge hapo Busega si ni Eric Shigongo ???
 
Busega mgombea ni Eric Shigongo kama haki itatendeka hili jimbo ccm wanalipoteza with a landslide victory wasukuma ni objective voters sana wanachagua wanayemtaka siyo waliyeletewa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wachague wa upinzani kwani lazima wa Chama cha mboga mboga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…