MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wananchi wa Jimbo la Nyamagana wamemuomba mbunge wao apunguze utoto au Kama itawezekana basi aache kabisa.
Sintofahamu hiyo imeanza baada ya mbunge huyu kuanza ujenzi wa kipande cha lami chenye urefu wa mita 50 kwa kiwango Cha lami huku mradi ukihitaji zaidi ya km 3 kukamilika.
Mradi huo ambao mpaka kukamilika kwake itakuwa umefaidisha familia/fensi nne tu umetajwa Kama tusi kwa wananchi wa Nyamagana. Pia wamemwambia Kama amechoka na ubunge basi wamuombe Wenje aanze kufanya warmup.