Wananchi wamtaka Mabula apunguze utoto, Wenje atajwa

Wenzie wanapanda Hadi juu ya meza kushinikiza serikali ijenge miundombinu yeye kabaki kupanik....
Nyamagana tuna mtaka pambalu.
[emoji116]
 
Tangu JPM aage dunia habari za barabara na maji na umeme tulieni tu.

Atakuja mwingine.
 
Yaani bibi kabisa yule wa miaka 62 mnamuambia aache utoto? Acheni masihara basi na muwe na adabu kwa wakubwa zenu

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka hiyo lami haipeleke mlangoni kwako? Tujifunze kuwa na shukrani hakuna mbunge wa nyamagana aliyewahi kufanya mambo makubwa kuzidi ya Stanslaus mabula.
Pumbafu sana unajua nyamagana WEWE au una Hala hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…