Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
ndio tujiulize sasa hizo "pesa nyingi sana" zipo wapi ?Mlima unaingiza pesa nyingi sana.
Kulitakiwa kuwe na fire department special kwa ajili ya mlima na wawe na vifaa special vinavyofika kokote wakati wa janga la moto.
Wanafunzi hawataweza hiyo kazi kwasababu hawajawa-trained kwa hiyo kazi.
Fire department ndo wajibu wao huo.
Moto unazimwa na wataalamu sio wanafunzi kati ya ajali mbaya za Moto ni pamoja na Moto wa msituni msipojua kitu mtazungukwa na kuteketea moto wa California wiki iliyopita uliwazunguka fire fighter kadhaa mlima unaingiza pesa nyingi kuweni na vifaa thabiti vya kuzimia Moto wa maporini na mlimani acheni ujanja ujanja kwenye Mambo ya msingi, watu wa Moto mkoa KLM na Arusha wahusike kuzima Moto sio hao wanafunzi.
Hii ya kusomba watu na malori na kuwapeleka juu mlimani kuzima moto yani umenikumbusha mbali sana mkuu.Leo Sasa Ccm Itumie Busara Isombe Wananchi Kwenye Malori Iwapeleke Mlimani Wakazime Moto. Campaign Zisimame π
MkuuHii ya kusomba watu na malori na kuwapeleka juu mlimani kuzima moto yani umenikumbusha mbali sana mkuu.
Nimekumbuka huko huko mlima Kilimanjaro mkuu, askari wa KINAPA na PT walikuwa wanasaidiana kusomba watu na kuwapeleka juu huko kuzima moto... bhas ikifika time hiyo vijiweni kunakuwa kweupee watu hawakai.Mkuu
Mwagika Umekumbuka Wapi?
Nyie nyie ndio mlioshangilia Mhe. KANGI LUGOLA kutumbuliwa maaana alikuwa na maono kama yako anunue Ndege ya kuzima moto hata Dronne za Kisasa za kuzima moto kama huo juu ya Milima, leo mnarudi Rivasi kulilia Vifaaa vya Kisasa! Kwakweli aliyeturoga alikufa kifudifudi.Mlima unaingiza pesa nyingi sana.
Kulitakiwa kuwe na fire department special kwa ajili ya mlima na wawe na vifaa special vinavyofika kokote wakati wa janga la moto.
Wanafunzi hawataweza hiyo kazi kwasababu hawajawa-trained kwa hiyo kazi.
Fire department ndo wajibu wao huo.
Asante Mkuu ahawa MWEKA wanataka kutuletea Majanga MengineMoto unazimwa na wataalamu sio wanafunzi kati ya ajali mbaya za Moto ni pamoja na Moto wa msituni msipojua kitu mtazungukwa na kuteketea moto wa California wiki iliyopita uliwazunguka fire fighter kadhaa mlima unaingiza pesa nyingi kuweni na vifaa thabiti vya kuzimia Moto wa maporini na mlimani acheni ujanja ujanja kwenye Mambo ya msingi, watu wa Moto mkoa KLM na Arusha wahusike kuzima Moto sio hao wanafunzi.
Watu Wanajificha Ndani Kuepuka Hiyo Kadhia Kusombwa Wakati Huna Ratiba Ya Kwenda Kuzima Moto π ππNimekumbuka huko huko mlima Kilimanjaro mkuu, askari wa KINAPA na PT walikuwa wanasaidiana kusomba watu na kuwapeleka juu huko kuzima moto... bhas ikifika time hiyo vijiweni kunakuwa kweupee watu hawakai.
Watu wengi tuliokua tunafanya kazi za Moto hasa wa meli,oil lig au majumbani wataalamu walitusihi kwenda kuzima Moto wa msituni ni hatari kuliko maelezo inatakiwa upate Elimu ya kuanzisha Moto ili ubadili uelekeo na jinsi upepo ilivyo sio umewashinda hamuwezi hata hii mbinu ndogo sema huku wanachukulia poa tuu kila kitu tunawaangalia maana maamuzi ya kitaalamu yanategemea wanasiasa..Umeongea point kila kitu ni utalaamu aisee niliona kwenye muvi moja aliyocheza jamaa wa THE GODS MUST BE CRAZY walifungwa miguu na mikono wakatupwa porini halafu Moto ukawashwa Moto ulikuwa na speed hatari huku wakijaribu kukimbia lakini Moto ulizidi kuwakaribia jamaa akaona isiwe tabu akakata kamba akaenda kuchukua kipande Cha kuni akakimbia mbele akaenda kuchoma kule mbele Moto wa mbele ukaendelea kuwaka kwenda mbele Moto wa nyuma ukaishia pale Moto wa mbele ulipoanzia huku washikaji wameingia kule mbele Moto umeshazima tayari.
Na sio mara ya kwanza kwa wanafunzi hao kuombwa kwenda kuzima moyo ina maana kila siku serikari imeshindwa kuweka mikakati ya kuzibit moto na wanajua unatokea mara kwa marandio tujiulize sasa hizo "pesa nyingi sana" zipo wapi ?