Wananchi wanataka Maendeleo sio kusutana. Je, Mchengerwa ni zao la Meritocracy au Nepotism?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Nasema tena CCM sio serikali moja, na kwa sababu hii itachukuwa miaka zaidi ya 100 kwa Tanzania kuwa na standard life for as long as CCM itaendelea kuwepo madarakani.

Ishu ya Chalamila na Mwendo kasi, ni katika jitihada za kupambana na nchi yenye miundo mbinu ya HOVYO never seen kiasi kwamba kipindi cha ugeni watu huambiwa wasitoke nje, ni mambo ya ajabu sana, kama ww ni mtumishi utafurahi kulala ndani, Kwa wafanyabiashara wanaelewa ni jambo la hovyo.

Aidha , kama utaratibu wa Chalamila haukuwa sawa, si muitane kwa vikao mmalize….Sisi wananchi tunaona aibu kuongozwa na Serikali ambayo watendaji wake hawaongei lugha moja.

Soma Pia: Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

What a shame kumkaanga Mkuu wa Mkoa kwenye public …..ili wewe uonekane vipi na kwa faida ya nani.?

Nilishawahi kuhoji uwezo wa Waziri Mchengerwa, je uwaziri wake aliupata kwa Meritocracy au Nepotism?

Halafu why huwa anakuja kwa public kukosoa viongozi wenzie most of the time ? Kwani haya mambo kwa ofisini hayawezekani? Si ni serikali moja?

Mbona mikataba ya TAMISEMI inasainiwa kwenye giza hauji kwa public ? Halafu hakuna Waziri mwenye Barabara ya Mwendokasi, Barabara ni mali ya Mtanzania sio Waziri.

Moja ya Wizara muhimu ambayo inaweza kubadili muonekano wa TZ ni TAMISEMI, very unfortunate hii wizara haijawai kupata Waziri SMART.

TAMISEMI inahitaji waziri wa Meritocracy, big time . Hatuwezi kuwa na viongozi wasio ongea lugha moja,

Nilidhan hii Tabia itakoma kwa Magufuli…. Kumbe Monkey see, Monkey do

Dr Megalodon,
Rue 52 , Canada
 
Attachments

  • 70B4AC81-ACDD-4695-8BA0-C772DAA40493.mp4
    11.4 MB

View: https://www.instagram.com/reel/DHeLDhmTOxT/?igsh=MTd1OTEweWZtbTh0eQ==
 
We elewa tu huyo Chalamila safari ndio imeiva.
Chalamila hana Shida

Mwenye Shida ni Waziri

Hana uwezo
Alishawahi kumsagia kunguni The Great Makonda pia

Jamaa ufanyaji wake kazi ni wa kukosea wengine hali ya kuwa yeye hamna anachofanya

Wizara ya TAMISEMI ni moja ya wizara ya hovyo chini yake
Kama kuwaondoa ni Chalamila na yeye pia
 
Monkey see, monkey do..

#Mkwe hakosei as long as bintiye anaishi kwa furaha na amani.
 
Nasema tena CCM sio serikali moja, na kwa sababu hii itachukuwa miaka zaidi ya 100 kwa Tanzania kuwa na standard life for as long as CCM itaendelea kuwepo madarakani.

Ishu ya Chalamila na Mwendo kasi, ni katika jitihada za kupambana na nchi yenye miundo mbinu ya HOVYO never seen kiasi kwamba kipindi cha ugeni watu huambiwa wasitoke nje, ni mambo ya ajabu sana, kama ww ni mtumishi utafurahi kulala ndani, Kwa wafanyabiashara wanaelewa ni jambo la hovyo.

Aidha , kama utaratibu wa Chalamila haukuwa sawa, si muitane kwa vikao mmalize….Sisi wananchi tunaona aibu kuongozwa na Serikali ambayo watendaji wake hawaongei lugha moja.

Soma Pia: Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

What a shame kumkaanga Mkuu wa Mkoa kwenye public …..ili wewe uonekane vipi na kwa faida ya nani.?

Nilishawahi kuhoji uwezo wa Waziri Mchengerwa, je uwaziri wake aliupata kwa Meritocracy au Nepotism?

Halafu why huwa anakuja kwa public kukosoa viongozi wenzie most of the time ? Kwani haya mambo kwa ofisini hayawezekani? Si ni serikali moja?

Mbona mikataba ya TAMISEMI inasainiwa kwenye giza hauji kwa public ? Halafu hakuna Waziri mwenye Barabara ya Mwendokasi, Barabara ni mali ya Mtanzania sio Waziri.

Moja ya Wizara muhimu ambayo inaweza kubadili muonekano wa TZ ni TAMISEMI, very unfortunate hii wizara haijawai kupata Waziri SMART.

TAMISEMI inahitaji waziri wa Meritocracy, big time . Hatuwezi kuwa na viongozi wasio ongea lugha moja,

Nilidhan hii Tabia itakoma kwa Magufuli…. Kumbe Monkey see, Monkey do

Dr Megalodon,
Rue 52 , Canada
Nikwamba unamchukia Mchengerwa au vipi? Mbona ameongea vitu vya msingi?
 
Monkey see, monkey do..

#Mkwe hakosei as long as bintiye anaishi kwa furaha na amani.
Furaha gani , kuna mwanamke anapenda Mathna

Kitanzania ukioa Mke wapi maana yake wakwanza umeshachoka

Hakuna stable family kwa mke zaidi mmoja
 
Back
Top Bottom