Viongozi wasiokuwa na weledi, uwezo na matapeli utawaona wakianzisha miradi na propaganda Ili waonekane ni Bora. Kumbe ni ulaghai tu!Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?
- Kwenye michezo yupo!
- Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
- Sekta za afya na sheria yupo!
- Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
✅ Samia Cup – Mpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
✅ Cheka na Samia – Hadi vichekesho vina jina lake!
✅ Mama Lishe na Samia
✅ Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini
✅ Samia Legal Aid – Haki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
✅ Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipiki – Kila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
✅ Machawa wa Samia – Mastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
✅ Madaktari wa Samia – Hata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
✅Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?
Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?
Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?
Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!
Pia, Soma:
Yaani ukiwasha radio, Tv utasikia huyo chura kiziwi akiimbiwa mapambio ya kila aina.Kuna ingizo mpya mama hana deni
ova
Mpaka yeye mwenyewe haelewi what is going on🤣🤣🤣Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?
- Kwenye michezo yupo!
- Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
- Sekta za afya na sheria yupo!
- Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
✅ Samia Cup – Mpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
✅ Cheka na Samia – Hadi vichekesho vina jina lake!
✅ Mama Lishe na Samia
✅ Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini
✅ Samia Legal Aid – Haki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
✅ Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipiki – Kila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
✅ Machawa wa Samia – Mastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
✅ Madaktari wa Samia – Hata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
✅Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?
Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?
Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?
Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!
Pia, Soma:
HahahahHuo ni mrefereji wa watu kutengeneza mazingira ya kunufaika zaidi kupita yeye. Itafika mahali hata yeye atakereka na kukataza baadhi ya vitu vingine: e.g Samia Stadium Arusha, etc
Mpaka wananchi mnatuchanganya saaa. Hatunui tushike lipi tuache lipiWakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?
- Kwenye michezo yupo!
- Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
- Sekta za afya na sheria yupo!
- Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
✅ Samia Cup – Mpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
✅ Cheka na Samia – Hadi vichekesho vina jina lake!
✅ Mama Lishe na Samia
✅ Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini
✅ Samia Legal Aid – Haki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
✅ Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipiki – Kila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
✅ Machawa wa Samia – Mastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
✅ Madaktari wa Samia – Hata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
✅Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?
Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?
Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?
Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!
Pia, Soma:
Sijui hata kama yeye anajikubali kama kweli anajielewa na kuelewa hali halisi mwanangu. Ukiwa na watu wa karibu machawa kama makonda, kabudi, lukuvi na vilaza wengine untegemeani mwanangu?Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?
- Kwenye michezo yupo!
- Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
- Sekta za afya na sheria yupo!
- Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
✅ Samia Cup – Mpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
✅ Cheka na Samia – Hadi vichekesho vina jina lake!
✅ Mama Lishe na Samia
✅ Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini
✅ Samia Legal Aid – Haki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
✅ Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipiki – Kila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
✅ Machawa wa Samia – Mastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
✅ Madaktari wa Samia – Hata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
✅Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?
Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?
Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?
Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!
Pia, Soma:
Kwani hizo ni program za branding Kwa Samia au za kuwasaidia wenye Changamoto?Wakuu

Soma kuhusu opportunity seekersWakuu