Pre GE2025 Wananchi wangekuwa wanamkubali kwa dhati Rais Samia kungekuwa na haja ya kuanzisha Samia Cup, Samia Legal Aid, Cheka na Samia na kadhalika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu

Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  • Kwenye michezo yupo!
  • Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
  • Sekta za afya na sheria yupo!
  • Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?

Samia CupMpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
Cheka na SamiaHadi vichekesho vina jina lake!
Mama Lishe na Samia
Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini

Samia Legal AidHaki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipikiKila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
Machawa wa SamiaMastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
Madaktari wa SamiaHata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?

Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?

Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?

Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!

Pia, Soma:
Viongozi wasiokuwa na weledi, uwezo na matapeli utawaona wakianzisha miradi na propaganda Ili waonekane ni Bora. Kumbe ni ulaghai tu!
 
Mpaka yeye mwenyewe haelewi what is going on🤣🤣🤣
 
Huo ni mrefereji wa watu kutengeneza mazingira ya kunufaika zaidi kupita yeye. Itafika mahali hata yeye atakereka na kukataza baadhi ya vitu vingine: e.g Samia Stadium Arusha, etc
Hahahah
 
Wakuu

Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  • Kwenye michezo yupo!
  • Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
  • Sekta za afya na sheria yupo!
  • Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?

Samia CupMpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
Cheka na SamiaHadi vichekesho vina jina lake!
Mama Lishe na Samia
Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini

Samia Legal AidHaki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipikiKila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
Machawa wa SamiaMastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
Madaktari wa SamiaHata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?

Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?

Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?

Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!

Pia, Soma:
Mpaka wananchi mnatuchanganya saaa. Hatunui tushike lipi tuache lipi
 
Amka na Samia jogging Tanga, by Ummy Mwl!.
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu (ukitoa chawa ambao ni wanufaika) anajua wazi huyu mtu ni dhaifu kiuongozi...bila kuwahadaa wananchi uchaguzi mkuu oktoba ataenda kuaibika!.
KWa maslahi mapana ya nchi, Samia HATOSHI kuwa rais, angeishia kwenye urais wa kurithi!.
 
Wakuu

Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  • Kwenye michezo yupo!
  • Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
  • Sekta za afya na sheria yupo!
  • Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?

Samia CupMpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
Cheka na SamiaHadi vichekesho vina jina lake!
Mama Lishe na Samia
Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini

Samia Legal AidHaki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipikiKila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
Machawa wa SamiaMastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
Madaktari wa SamiaHata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?

Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?

Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?

Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!

Pia, Soma:
Sijui hata kama yeye anajikubali kama kweli anajielewa na kuelewa hali halisi mwanangu. Ukiwa na watu wa karibu machawa kama makonda, kabudi, lukuvi na vilaza wengine untegemeani mwanangu?
 
Wakuu

Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  • Kwenye michezo yupo!
  • Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
  • Sekta za afya na sheria yupo!
  • Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
Tujiulize je, hii ni ishara ya umaarufu wake au ni dalili kuwa hana mvuto wa asili kwa wananchi, hivyo analazimika 'kujiuza' kwa nguvu?

Samia CupMpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
Cheka na SamiaHadi vichekesho vina jina lake!
Mama Lishe na Samia
Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini

Samia Legal AidHaki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipikiKila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
Machawa wa SamiaMastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
Madaktari wa SamiaHata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?

Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?

Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?

Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!

Pia, Soma:
Kwani hizo ni program za branding Kwa Samia au za kuwasaidia wenye Changamoto?

Wewe kama una shida ya kisheria nenda,kama huna kausha
 
Soma kuhusu opportunity seekers
 
Back
Top Bottom