johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vibaya mno.JP yuko wapi sasa? Waambie they are wasting their time
Ushauri mzuri!Hilo suala lao lilishawahi kupelekwa mahakamani au bado, huo mgogoro ni wa muda mrefu sana, wawe makini pia, wasijekimbilia mahakamani halafu mahakama ikaamua wamlipe mzungu kiasi kikubwa zaidi ya hicho.
Lissu alishasema hili. Raisi kawa kama Mungu.Washauri waende mahakamani hili sio suala la no 1,watanzania tuwa ajabu mno kabla ya kupigania taasisi huru na independent sisi bado tunamkuza no 1 why?nani katuvuruga kiasi hiki yaani kila kitu ni ikulu ndio iamue?hii in issue ya kisheria sio kisiasa.
Huu ndio ukweli mtupu. Washukuru mwekezaji amekubali kuachia eneo wamlipe fidia ndogo ya 6000 /sqm ni heri wapambane hata kuahid kulipa kwanawamu ila wakikataa zaidi itakula kwao.Eneo walilovamia lina hati ya kiwanda cha Twiga Cement na waziri kawafafanulia vizuri tuu na thamani ya eneo ni bilioni 60 or 50 kutokana na mali iliyopo humo na kuna wanahisa waTZ kwenye hiyo kampuni.Wanachotaka kiwanda 10B waachie ili nao wapewe hati nyingine na wananchi wapewe hati nao.Sasa raisi awasaidieje?hikiwa hawataki kumsikiliza waziri.Maana haki sio wao tuu hata wenye kiwanda wahaki.Haya wamsubiri atakuja kuwasaidia
Uamuzi wa Lukuvi unaleta mashaka kwamba kala rushwa nzito sana kutoka kiwandani .Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia....
Inasemwa kuwa lilifika mahakamani na hukumu ilishatoka kuwa eneo ni la mwekezaji na wananchi wavamizi wakaamriwa kuvunja majengo yao na kuondoka.Hilo suala lao lilishawahi kupelekwa mahakamani au bado, huo mgogoro ni wa muda mrefu sana, lakini wawe makini pia, wasijekimbilia mahakamani halafu mahakama ikaamua wamlipe mzungu kiasi kikubwa zaidi ya hicho cha waziri.
Huyo wanaemuomba msaada hawasikii kelele za kumtafuta zinavyopigwa? vyema hao wakazi wakatambua tu hata huyo mzungu pia ana haki zake.
Watu waliozoea kuishi squatter kila kitu wanataka kiwe bure, kama machinga.Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia....
Lukuvi kafanya sawa kabisa kuwatetea, lakini wavamizi wanataka ardhi waliyovamia iwe bure kabisa kwao.Uamuzi wa Lukuvi unaleta mashaka kwamba kala rushwa nzito sana kutoka kiwandani .
Hakuna mnyonge Tanzania watu wanatumika kisiasa.Hao watu wanyonge ndio wakina nani๐๐๐
Ila Chadema! Hizo allegetions unaweza kuthibitisha bila kuacha shaka yoyote mahakamani?Uamuzi wa Lukuvi unaleta mashaka kwamba kala rushwa nzito sana kutoka kiwandani .
Mitano tena.Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia...
Edit neno allegetions mjomba,hata ukiandika kiswahili utaeleweka tu.Ila Chadema! Hizo allegetions unaweza kuthibitisha bila kuacha shaka yoyote mahakamani?
Sent from my Android using JamiiForums mobile app