Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao.
Nchi inapita kwenye kipindi kigumu sana na hakuna yoyote anayejali ilimradi wao wana uhakika kwanza hawaingii sheli magari wakiamka asubuhi yako full tank.
January Makamba
spika na Mumewe Mkurugenzi wa EWURA