Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

hapo vijana wa kijitonyama hawajamfuata hukohuko, amuulize mzee kambona kwanza.
 
eti watamchangia ndio wema? hovyo kabisa, lipeni kwanza ada zenu za JF
Yan hapo ni shidah mkuu bora ukae kimya maana usije kuta unachanga ukichimbwa na ww ni mdaiwa tena suguu af unasubir umbea wa mange ukusaidie
 
Hotel haiwezi kupigwa mnada bila kufuata taratibu!!

Law Firm/Dalali atakae pewa hiyo tenda lazima akatae au aombe kufuata taratibu.

Moja ya hatua hizo ni kumuandikia barua ya wito mdaiwa na kumuomba kulipa kwa hiari. Pia onyo la mwisho na baadae Notice ya siku kadhaa iwapo atashindwa kulipa.

Familia wana haki ya kuzuia mnada huo Mahakamani coz hawana taarifa na taratibu hazijafuatwa.

Hizi siasa ktk sheria ni ujinga. Ni kujaza kesi mahakamani tu zisizo na tija na mwishowe mahakimu kuzitupa.
 
Acha uongo sema CHADEMA usichanganye habari
 
Bashite ni chakula live pozi gani hilo la kumapapasa mwanaume mapaja
Huyo basha ni nani vile. Naona anavuta hisia kwelikweli. Acheni kutengeneza picha za udhalilishaji wana JF. Sitaki kuamini kama ni kweli [emoji85] [emoji85]. Hii itakuwa Photoshop, na kuanzia sasa ninajiamisha hivo ili angalau nisimkosee adabu
 
Soma kwanza dogo!!!
Iv muuza ngada ni nan?
Kuna kesi serious ya muuzaji madawa unayo ijua? Katka utawala huu wa 5?
 
Reactions: Pep
OK anadaiwa kodi kiasi gani?
acha uduanzi we we tumia kichwa kufikiri
 
Jengo lilikuwa lake?
Kiswahili ulibashite nini!!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kupigwa mnada wa hotel ya familia YAO.... ni urithi ambapo waliamua kurithi kwa mtindo wa hisa yeye anamiliki 25%... Na wanafamilia wengine wana asilimia zao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…