Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Hahaha unapanic ishu ndogo kama hii? Huijui jf kumbe.. Okay ngoja ni Badili Gia angani.. Inawezekana ukawa na hiyo pesa Ila huna akili, unatetea wauza ngada, Kwa taarifa yako awamu ya TANO ni awamu nyingine kabisa hakuna mazoea, hakuna brand, hakuna Jina, hakuna kuangalia Sura.. Pole Sana mwanaume kushikwa akili na mdaku Mange kimambe
Mkuu hilo kubwa jinga ukiona linapanick hivyo ujue lina njaa kali sana
 
Namimi ntamchangia tunaomba account please
 
Mkui lakini unajua.kuwa hapa bongo ni crisis ? Si Gwajima tu bali manabii nadhani wamegusa kila familia !!! Ni masitiko makubwa kuwa watanzania hawajielewi wwngi wamekabidhi kuanzia oblongata mpaka cerebellum kwa hao watu wasomi kwa wasio wasomi. Watanzania hatuna uelewa wa kuchambua mambo na hatuko tayari kuendana na uchumi wa kati
Mkuu wapo watu wapo tu wanangoja kufa wazikwe
 
Aisee akili za baadhi ya watanzania bana hizi DECI wanazitengenezaga wenyewe,yakiwashinda wanaanza ilalamikia serikali kwa madhara waliyoyasababisha wenyewe.

Kama kweli mna nia ya dhati hizo hela mpeni lissu akijenge chama cha wanasheria vizuri kiwe kisu kikali na kuokoa wengi waliobambikiziwa kesi magerezani.
 
Yakununulia always unayo au unatumia matambara
Matambara. Alafu for your information mataambara ndo mazuri kuliko hizo always. Kwanza sizitaki. Hata mamaako alitumiaga matambara kwanini nisitumie mieee, tisa kumi, hata kwakujiuuza ntajiuza kusudi nimchangie my sweet Mange acee
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa

Ok ninakubaliana na wewe kabisa. ILA kwa Mange hii ni zaidi ya kujitoa muhanga.
 
Wata hack hiyo account ajute...

Si mjinga kiasi hicho cha kutoa Account yake. Anaweza tokea mtu akalipa deni hilo bila yeye kujua wala mtu mwingine au Tundu lisu mzee wa makesi akalipa deni hilo unafikiri serikali itamgusa? wataogopa!!
 
Mange anasingizia ishu ya hotel imemchanganya, ila mimi naona ishu ya watoto ndio ilimchanganya maana alikua mahakaman kwa ishu ya watoto
hajasema km hyo issu ya hotel imemchanganya yy alikua bussy na watoto watu wameunganisha tu matukio.
 
Lakini si alisema wamelipa kila kitu, sasa michango ya nini?
 
HIVI NI KWELI KODI YA ARDHI FAMILIA YA MANGE WAMESHINDWA KULIPA? KWANI KODI YA MWAKA YA ARDHI NI TSH NGAPI? KODI YA ARDHI NAYOJUA MIMI KWELI KWA COMMERCIAL PLOT INAZIDI LAKI 5 KWA MWAKA? LET ASSUME HAWAJALIPA TANGU MZEE AFARIKI,JE NDIO WASHINDWE KULIPA HIYO ,LAKI 3 X15 AMBAYO NI 4.5MILIONS?
Inategemea ni eneo gani, kodi ya ardhi hakuna flat rate, kila eneo lina kodi yake.
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Tafuta hela acha chuki
 
Back
Top Bottom