Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Mkuu hilo kubwa jinga ukiona linapanick hivyo ujue lina njaa kali sana
 
Namimi ntamchangia tunaomba account please
 
Mkuu wapo watu wapo tu wanangoja kufa wazikwe
 
Aisee akili za baadhi ya watanzania bana hizi DECI wanazitengenezaga wenyewe,yakiwashinda wanaanza ilalamikia serikali kwa madhara waliyoyasababisha wenyewe.

Kama kweli mna nia ya dhati hizo hela mpeni lissu akijenge chama cha wanasheria vizuri kiwe kisu kikali na kuokoa wengi waliobambikiziwa kesi magerezani.
 
Yakununulia always unayo au unatumia matambara
Matambara. Alafu for your information mataambara ndo mazuri kuliko hizo always. Kwanza sizitaki. Hata mamaako alitumiaga matambara kwanini nisitumie mieee, tisa kumi, hata kwakujiuuza ntajiuza kusudi nimchangie my sweet Mange acee
 
Huyu demu mange kimambi ndio Mtoto Wa Mzee kimambi nimjuwae?
 

Ok ninakubaliana na wewe kabisa. ILA kwa Mange hii ni zaidi ya kujitoa muhanga.
 
Wata hack hiyo account ajute...

Si mjinga kiasi hicho cha kutoa Account yake. Anaweza tokea mtu akalipa deni hilo bila yeye kujua wala mtu mwingine au Tundu lisu mzee wa makesi akalipa deni hilo unafikiri serikali itamgusa? wataogopa!!
 
Mange anasingizia ishu ya hotel imemchanganya, ila mimi naona ishu ya watoto ndio ilimchanganya maana alikua mahakaman kwa ishu ya watoto
hajasema km hyo issu ya hotel imemchanganya yy alikua bussy na watoto watu wameunganisha tu matukio.
 
Lakini si alisema wamelipa kila kitu, sasa michango ya nini?
 
Inategemea ni eneo gani, kodi ya ardhi hakuna flat rate, kila eneo lina kodi yake.
 
Tafuta hela acha chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…