Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Mama anaupiga mwingi š¤£
sasa anapigiwa yeyeMama anaupiga mwingi š¤£
Msiyanganganie mambo yaliyopita, wala msifikirie vitu vya zamani. Tazameni, mimi ninafanya kitu kipya. Kinafanyika sasa hivi, nanyi mtaweza kukiona. Nitafanya njia nyikani, na kububujisha mito jangwani.Isaya 43:19
nchi yetu sote mkuu kama cake tule wote mabadiliko ni sasaAlafu guess what, Gen Z ndio kibao š , watu ajira hakuna, uchumi mbaya, watetezi wa haki au wasemaji wanauwawa na kupotezwa? Si wanataka tuseme wacha tuseme nao kwa style hiyo pengine watasikia, ustaarabu kwao mwiko.
inasemaje mkuu fungukaIsaya 43:19
Anaelekea shimoni huyu, hajajua tu.Mama anaupiga mwingi
Luca hajabubujikwa machozi?Mama anaupiga mwingi š¤£
Hakuna Chochote kitakachotea. Trust MeHatimaye kile kikundi kidogo kilichokuwa kinasubiliwa ili kuweza kuhuisha uamsho kuelekea kwa Watanganyika kudai haki kimepatikana ni wakati mwingine tena tunaenda kuona Damu ikimwagika.
Damu ambayo imebeba ukombozinwa nchi.
Imetimia... imetimia
Kumekucha bado wamefunga Barabara?Barabara ya UBUNGO kutoka Posta wananchi wameifunga
Hii sasa ni balaa wananchi wanamlinda Askofu wao.
Baadhi ya wananchi ( waumini ) ambao walionekana nje ya Kanisa la Ufufuo na uzima ambalo lipo chini ya Askofu Gwajima wakiwa wamefunga barabara kushinikiza kuto kamatwa kwa Askofu wao na hii ni baada ya taarifa Askofu Josephat Gwajima Kanisa lake usiku huu kuzingirwa na Askari Polisi.
Na hii inakuja baada ya kutoka taarifa Serikali kulifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
View attachment 3354157
View attachment 3354168
Updates...
Jeshi la POLISI likiwa na MBWA waliongezeka pia ili kuwaondoa wananchi walioweka kambi kanisa la Gwajima
Polisi wanawaambia wananchi waondoke kabla HAWAJAANZA KAZI.Wananchi wanaendelea kuimba na kuabudu kwenye kanisa lao. Wanatumia haki yao ya kikatiba āUHURU WA KUABUDUā.( Saa tisa dakika 10 usiku)
View attachment 3354172
Polisi wamelisogeza gari la maji ya washawasha kuwatisha WANANCHI, chaajabu wananchi waendeea wanashangilia na Ngoma & MAVUVUZELA yanaendelea kupigwa hapa.
View attachment 3354173
Baada ya KUTAWANHISHA WATU, wamepiga mabomu ya MACHOZI, sasa wanafanya mpango wa kuingia ndani ya kanisa kumchukua Askofu Gwajima
taasisi zote zinafanya kazi kwa utashi wa mkuluOnline tv zote hazioneshi haya matukio.
Naona TCRA wamewakalia kooni.