Wananchi (Waumini ) wafunga barabara ya Morogoro eneo la Ubungo baada ya Polisi kulizingira Kanisa la Askofu Gwajima

Isaya 43:19
Msiyanganganie mambo yaliyopita, wala msifikirie vitu vya zamani. Tazameni, mimi ninafanya kitu kipya. Kinafanyika sasa hivi, nanyi mtaweza kukiona. Nitafanya njia nyikani, na kububujisha mito jangwani.

Usisahau Isaya 60:22
Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo, aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu; wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.
 
Alafu guess what, Gen Z ndio kibao 😅, watu ajira hakuna, uchumi mbaya, watetezi wa haki au wasemaji wanauwawa na kupotezwa? Si wanataka tuseme wacha tuseme nao kwa style hiyo pengine watasikia, ustaarabu kwao mwiko.
nchi yetu sote mkuu kama cake tule wote mabadiliko ni sasa
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Hatimaye kile kikundi kidogo kilichokuwa kinasubiliwa ili kuweza kuhuisha uamsho kuelekea kwa Watanganyika kudai haki kimepatikana ni wakati mwingine tena tunaenda kuona Damu ikimwagika.

Damu ambayo imebeba ukombozinwa nchi.


Imetimia... imetimia
Hakuna Chochote kitakachotea. Trust Me
 
Kumekucha bado wamefunga Barabara?
 
Chonde chonde polisi wasifanye mauaji waondoke kwa amani
 
Mimi napenda katikati ya haya basi litokee kama lililomkuta Magufuli tarehe 17.
 
Sasa anaogopa nini kwenda kwenye vyombo vya Sheria? Yeye si Hana kosa lolote? Hao wananchi nao Havana kazi za kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…