Wananchi (Waumini ) wafunga barabara ya Morogoro eneo la Ubungo baada ya Polisi kulizingira Kanisa la Askofu Gwajima

MKAPA aliwahi kuufunga msikiti wa Mwembechai 1998
 
Perfect! A dude has set his odds well and he has backups, kutoka kwetu wananchi wenye mioyo inayovuja damu na wenye mamlaka wasiofurahishwa plus our best friends 😅, sitawataja hapa leo.
Mbona hamjafika popote! Tanzania hatuna ubavu wa kutunisha misuli kwa policcm!
 
MKAPA aliwahi kuufunga msikiti wa Mwembechai 1998
alifunga msikiti, hakufuta imani ya watu. serikali ilitakiwa kufunga kanisa la gwajima la ubungo, na kuacha makanisa yake mikoani wanaotaka kusali wasali, kama nia ni kumshughulikia gwajima.
 
Na hii inakuja baada ya kutoka taarifa Serikali kulifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Kuichonganisha au serikali kukithiri kuteka na kupoteza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…