Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
hiyo nguvu ya umma imezuia mipango gani ya serikali?Wanachi kwa umoja wao wanaweza.....
ama hujui maana ya nguvu ya umma
Upumbavu ni upumbavu tuu na huondolewi na quantity ya wanaounga mkonoYaani legacy ya upumbavu halafu inaungwa mkono na wananchi wengi!
Una maana taifa lina wapumbavu wengi!
Kuita watu wengi ni wapumbavu ndio upumbavu wenyewe!
Hoja yako haina mantiki yoyote!
Dawa ipi ambayo haina side effect?Unataka evidence ambayo inapatikana baada ya miaka 5 mpaka 10?
Chanjo imetolewa katika mazingira ambayo ni emergence administered ili kuokoa uchumi halafu bado unataka evidence wakati side effect ya muda wa miaka 5 mpaka 10 haijulikani!
Kiswahili ni lugha nyepesi kwangu. Lakini wewe unaleta ulimbukeni wako wa jiwe, na jiwe wako ameshaenda harudi tena
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Nani amekuambia kuwa jiwe atarudi au ni wapi nimesema atarudi?
Ndio maana nimekuambia una tatizo la uelewa! Jielimishe kwanza kabla kuingia kwenye masuala ambayo yako juu ya uwezo wako wa utambuzi(comprehension).
Hoja gani anazo gwajiboy? upuuzi tu.Wewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
Bunge hili la kuongeza maisha kwa dawa , hahaaaa hakuna Bunge pale
Hahah such clown, thinking you know so much than most people about the vaccines?. We'll Never give in to their coercion or fear, once they put it in your blood, it cannot be removed. I am not getting it regardless and the more government tries to force it the more resistance. It's that simple.
Wewe unaona vaccines hazina shida kachome na familia yake usiwe na hasira au wivu kwa wale ambao hawajachoma, wakifa itaku athiri nini wewe? Sababu wewe ukichoma si unakuwa salama na familia yako? Then do just that to stay safe, but the majority have spoken hawataki chanjo. Don't blame it on Magu.
Hoja dhaifu sana hii kuchukulia data za mitandaoni kuwa ndio sauti ya wote. Hatuwezi kuwa upande wa upotoshaji kuwa ndio ulioshinda. Huwezi kutofautiana na Chama na Serikali yako mwenyewe huwezi jiuzulu na utoke au uanjishe chama chako.
Utakufa lakini siyo kwa corona ndio maana umechanjwa!