Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Kwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
ulijuaje kama hakuthibitisha hizo tuhuma, ile taarifa imesomwa ya upande mmoja isitoshe majadiliano yalikuwa kwa siri kama wangetaka wangeyaweka wazi
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.

Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”

Muda ni mwalimu wa kweli!

Duuh, hata wewe umekuwa kinyume na maamuzi ya kipande cha serikali yenu - bunge...!!??

Naona akili na ufahamu wenu unaanza kuwarudia taratibu na ipo siku wote tutaelewana tu..
 
Gwajima hana hoja ya maana zaidi ya kujaribu kuwachukulia Watanzania wote kama Waumini wake...hata wakimfukuza ni sawa tu.

Ila kwa Slaa Bunge lijitafakari.
 
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Jitafakari kaka chanjo haijapingwa Tanzania zaidi ya nusu ya wamarekani hawajachanja. Wengi wao katika hao wanapinga chanjo. Hali kadhalika hata UK. Katika wanaopinga chanjo hiyo wapo wasomi tena bobezi katika taaluma ya tiba.
Kwa hiyo si vizuri kuwaita wapumbavu.
Mimi nishuhuda wa watu wawili ninao wawili waliochanjwa hali zao zikabadilika na hatimaye wakapoteza maisha.
 
Wachangiaji wengi mitandaoni zaidi ya 60% Ni benders fuata upepo. Hakuna wanachokijua zaidi ya kusema jembe na sehemu kubwa waliojaa matusi.
 
Kwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
Ni afadhali hoja ambazo hazijathibitishwa kuliko chanjo ambayo haijathibitishwa pia
Think
 
Kwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
Shutuma gani kashindwa kuzithibitisha wacha kudanganjika wao ndiyo walishindwa kumjibu maswali ndiyo maana uliwaona bungeni wanafoka kana kwamba bado hawajakutana na gwajima kwanini wasifokeane kwenye kikao wangoje bungeni wakati ngwajima hayupo
Uenda ngwajima alitumia mbinu ya yesu ,maana yesu aliulizwa swali je ni kwa mamlaka gani unafanya haya yesu akajibu akasema na mimi nitawauliza swali mkinijibu na mimi nitawajibu ,akawauliza je ubatizo wa yo yohana ulitoka kwa mungu au wanadamu ,wale jamaa wakashindwa kujibu !!!
Sasa gwajima kawauliza swali Je hii chanjo ni yama jaribio au la !? Serikali na bunge wameshindwa kujibu... wakasemezana tukisema siyo ya majaribio watasema mbona kuna kiapo cha kufa au kupona unatakiwa kuapa na tukisema ya majaribio watasema kwanini tuna idemkia kwa kuipigia panda kwa nguvu zote.....sasa ulitaka athibitishe nini tena
 
lakin hoja lazima zidhibitishwe na concrete evidence. kama hazina vidhibitisho ninsawa na siasa tu

Unataka evidence ambayo inapatikana baada ya miaka 5 mpaka 10?

Chanjo imetolewa katika mazingira ambayo ni emergence administered ili kuokoa uchumi halafu bado unataka evidence wakati side effect ya muda wa miaka 5 mpaka 10 haijulikani!
 
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Kwahiyo mmekubari kuwa legacy ya jiwe imekubalika hadi na wanachama wa vyama vya upinzani maana chanjo milioni moja zimeshindwa kumalizika hadi sasa wakati wanachama wa chadema peke yao wangeweza kuzimaliza hata zingekuwa milioni 3 bado wa ccm mamilioni kama ni upumbavu basi chadema , ccm na upinzani wote ni wapumbavu pia
 
Yaani legacy ya upumbavu halafu inaungwa mkono na wananchi wengi!

Una maana taifa lina wapumbavu wengi!

Kuita watu wengi ni wapumbavu ndio upumbavu wenyewe!

Hoja yako haina mantiki yoyote!
Nikweli sisi tunasema kama chadema siyo wapumbavu mbona wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja wakati wana wanachama na wafuasi zaidi ya mamilioni ,maana sisi wapumbavu tumekataa kuchanja sasa wao wenye akili mbona wameshindwa kumaliza chanjo milioni 1 tu huu unaenda mwezi wa pili
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.

Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”

Muda ni mwalimu wa kweli!

Wanaowashambulia wabunge badala ya kuwa convict wote wana tatizo na wanahitaji msaada haraka. Sioni tofauti kati ya potato na potatoes hapa. They are all guilty and rotten so to speak
 
kinarani kwa ujinga yes. but on thing anatakiwa ajue serikal ikiamua kumtoa hapo alipo hakuna mwananchi mwenye uwezo wa kufanya lolote. watabaki mashabiki tu lakin hatoweza kufanya lolote
Wanachi kwa umoja wao wanaweza.....
ama hujui maana ya nguvu ya umma
 
Gwajima sauti ya mtanzania gani? Labda mtanzania mjinga mjinga! Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza? Gwajima ni mpiga dili tu! Samia ni number one

Kwani wakati Aakofu Gwajima anapambana nanaliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa hujui mambo ya siasa au ulikuwa hujazaliwa?

Halafu kama alikuwa anakubaliana na anayoyafanya Rais ulitegemea apinge kwa sababu tu ya kuonekana anapinga?
 
Ivi kumbe legacy za upumbavu ndio hukubalika na walio wengi eti!!?

Mimi sio kwamba nilishangaa hoja zake bali niliposoma nikajua ninasoma hoja za mtu mjinga ambaye hajui kama ni mjinga!
 
Back
Top Bottom