Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Ndio kwa sababu hii nchi inaimani za kichawi top 5 Afrika,imeshikwa na makanisa ujasiliamali kama ya kina Gwajima,mwamposa nk na ina watu wenye elimu duni ,idadi kubwa ya maskini top 5 Afrika,around 90% wameisha la saba au hawakusoma na hata waliosomea walienda kujibia mitihani sio kuelimika thus why wakishahitimu kila kitu kinaishia hapo.

Sasa kwa hali hii unategemea nini? Ndio maana Mwendazake alifaulu kueneza propaganda na pia ccm wanafaulu kuwashika watu.
Wewe ni mpumbavu tu,hata huko Ulaya kuna akina Joyce meyer,na wanakusanya watu kuliko akina Gwajima
 
Ni ukweli mchungu, lakini hakika Taifa lina wapumb.avu wengi kuliko werevu.

Hata marehemu, alifaidika sana na upumbavu wa walio wengi. Aliwadanganya wananchi kuwa ukuuaji wa uchumi ulikuwa umeongezeka wakati ulikuwa umeanguka. Ukweli ni kwamba ukuuaji wa uchumi ulikuwa unaanguka, ukuaaji wa uwekezaji ulikuwa unaanguka, ukuuaji wa utalii ulikuwa unazidi kuanguka, lakini wapumb.avu waliamini kuwa ukuaji wa uchumi ulikuwa unapaa.
Kwani Magufuri ndiye aliyesema uchumi umekua au,ni mabwana wenu WB na IFM,kawalaumu hao maana nyinyi anachosema mzungu mnaona sawa,labda la kusema Tanzania imeingia uchumi wa kati ndio mnaona uongo,ila chanjo ni salama kwasababu mzungu kasema 😃😄😄
 
Acha uwongo.

Nchi gani iliyo na idadi kubwa ya waliochanjwa, halafu idadi ya vifo haijapungua? Maambukizi yapo lakini vifo vimepungua sana.

Msiwe mnamezeshwa ujinga, halafu nanyi mnaubeba kama ulivyo.
Hata hapa kwetu vifo vimepungu sana ingawa waliochanja ni laki tatu katika watu milioni 60,sasa kama corona ingelikuwa inaua kama wanavyo shadadia akuna Mtanzania hata mmoja angelibaki, Maana mashariti akuna ayeyafuata,na chanjo watu wamezikataa
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.

Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”

Muda ni mwalimu wa kweli!

Hiyo adhabu waliyochangia kuwaadhibu wabunge wenzao itawagharimu na hawataamini ambapo mpaka iviongozi wa juu wataathirika kwa uamuzi waliofanya watunga sheria wasiojielewa
 
Kwani chanjo ni lazima? Au kwasababu ni ukoo wapanya hakuna kuumizana, hata kwenye familia hamwezi kukubaliana vyote!
 
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Ww umedanganywa na mzungu.....
kila siku watu wanajazana mwendo kasi lakini hatuoni hiyo mass killing
 
Gwajima sauti ya mtanzania gani? Labda mtanzania mjinga mjinga! Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza? Gwajima ni mpiga dili tu! Samia ni number one
Leo Rais yupo na Gwajiboy ziarani Kawe hapo vp!
 
Kwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi

mkuu
hii nchi wananchi walishaichoka ccm ndiyo sababu hata umshutumu rais kwa uongo, na wanajua ni uongo bado watakusupport. Watu hawawezi kuisupport serikali ya ccm tena. people are fed up.

ccm ilishakuwa kama kula ugali na maharage kila siku. tena ugali uwe wa dona, maharage chukuchuku na vyote vimepoa
 
Ninaamini unahitaji majibu ya KITAALAMU na si ya "KIMSUKURE".....

Ni hivi......

Ugonjwa huu ni mpya kuwahi kuonekana.....

Wanasayansi wanapambana KUIZUIA "HILIKI" ya dunia kwa kutoa chanjo ambayo itakwenda KUMZUIA MTU kutoweza kuingia katika hali mbaya(severity) pale atakapopata maambukizi ya UVIKO yawe kwa mara ya kwanza ama kwa marudio.....

Hali mbaya hiyo hupelekea mgonjwa kulazwa vyumba vya wagonjwa mahututi...SADURUKI..... na mitungi ya gesi ya kupumulia(ICU's with ventilators)....

Hivi umeona mikusanyiko imerudi nchi za ulaya(Kombe la Euro ni ushahidi)...WATU WAMECHANJA SANA ULAYA...

Umetaja vifo vingi huko kwao....je vinatokana na wagonjwa WALIOCHANJWA NA KUPATA MAAMBUKIZI?!!
Je vinatoka kwa wagonjwa waliopata maambukizi ya kawaida na kutolazwa "vyumba vya wagonjwa mahututi...SADURUKI..."?!!!

Majibu mengi yako "biased , unsubstantial with conspiracy theories"...

N.B

UVIKO ni ugonjwa utokanao na "VIRUSI" na VIRUSI VINAJIBADILIBADILI MNO na ndio maana hata MAFUA hayana TIBA....je hakuna CHANJO DHIDI YA "INFLUENZA"?!!

TUACHE KUWASIKILIZA WAPIGA RAMLI NA "WAKUSANYA MISUKURE JUU YA PAA NA TUWASIKILIZE WATAALAMU WETU BOBEZI"

#SiempreJMT
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Umesema ya kitalaamu ni sawa Ila Kuna ulimwengu mwingine nadhani haujui. Ambao wanaamua ulipwe Bei gani na uishi vipi.
Ugonjwa mpya umetoka wapi ama ulikuwa bado haujazaliwa,wazazi wa huo ugonjwa walikuwa hajawaoana na kumzaaa huyo gonjwa.
Unapolishwa na hao jamaa walioamua kuwa unatakiwa usome miaka mingapi ili uitwe mtalaamu wa kada fulani.
Nina Imani unamuona Elon Musk ameanza kupinga mtaala uliopo ameanzisha shule yake. Wanawe wanasoma huko wote.ana watt wasiozidi 20.

Tuje huku kwako Sasa.

Unajua kuwa ugonjwa umetengenezwa kwa maslahi ya wakubwa wa dunia.

Unakumbuka yule mmama aliyetutisha kuwa maiti zitagaa mitaani huku Afrika Mana tuna umasikini mkubwa wa kuto combat abrupt calamities.

So wakati unakula chakula Cha hao jamaa wanaokulisha please and please leave a room of pessimistism don't swallowed by them.
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.

Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”

Muda ni mwalimu wa kweli!

Gwajima ana hoja...kama wale waliochanja wanavyosema wana hoja. Na Slaa amekosea nini? Bunge nalo mtihani sana
 
Binafsi yangu nakataa hatuna wananchi wakuibana na kuikosoa Serekali iliyopo madarakani wala kuigusa Serekali labda TZ ingine ila sio hii kamwe. Walisha tujulia na wanatupindua watakavyo nyuma ya key board hahha tutasema sana njoo kiuhalisia hakuna atakaye jitokeza kamwe.
 
Chato ni wazima ndugu yangu!

Vipi? Mama yetu bado anaupiga mwingi huku ukiendelea kudemka? Au?

Sisi “Sukuma gang” kama mnavyotuita tunauangalia mchezo wa kudemka kwa mbali baada ya ninyi kumuhimiza mama atushughulikie kisawa sawa huku mkifurahia!
Mama yuko vizuri sana! Kama unafuatilia vizuri takwimu cha uchumi sasa najua unaelewa kuwa mshamba wenu alikuwa anatuchelewesha sana kimaendeleo
 
Umesema ya kitalaamu ni sawa Ila Kuna ulimwengu mwingine nadhani haujui. Ambao wanaamua ulipwe Bei gani na uishi vipi.
Ugonjwa mpya umetoka wapi ama ulikuwa bado haujazaliwa,wazazi wa huo ugonjwa walikuwa hajawaoana na kumzaaa huyo gonjwa.
Unapolishwa na hao jamaa walioamua kuwa unatakiwa usome miaka mingapi ili uitwe mtalaamu wa kada fulani.
Nina Imani unamuona Elon Musk ameanza kupinga mtaala uliopo ameanzisha shule yake. Wanawe wanasoma huko wote.ana watt wasiozidi 20.

Tuje huku kwako Sasa.

Unajua kuwa ugonjwa umetengenezwa kwa maslahi ya wakubwa wa dunia.

Unakumbuka yule mmama aliyetutisha kuwa maiti zitagaa mitaani huku Afrika Mana tuna umasikini mkubwa wa kuto combat abrupt calamities.

So wakati unakula chakula Cha hao jamaa wanaokulisha please and please leave a room of pessimistism don't swallowed by them.
🤣🤣
Hayaa mkuu.....huo ulimwengu utakuwa unaujua wewe pekee nami siujui mkuu wangu......

Yasiyoonekana unayayakinishiaje?!!!

Inawezekana huo ulimwengu ndio uliotutengenezea magari tunayoendesha mimi na wewe....hapo ulimwengu huo ni mzuri....🤣

Ok Mzee wa "conspiracy theories"...

#Yetzer-Ha-Tov
 
Kuna kirusi kipya mzao wa corona

Gwajima yupo sahihi
 
Kwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
Ushahidi aliotoa katika kamati umewekwa hadhalani au na wewe unaweweseka tu?
Kamatai imepewa ushahidi kisha ukaufunikwa na kuja na adhabu bila sisi wananchi kuambiwa askofu alikwa wapi,

Sasa wewe uliyekuwa kwenye kamati twambie alukwama wapi kwenye ushahidi?
 
Nyinyi wenye akili hebu tujibuni ukichanjwa chanjo huumwi corona na je nchi zinazo chanja mbona vifo bado viko vingi n wamechanjwa sasa kuna maana gani ya kuchanjwa kama bado nikich kwaanjwa lazima nijikinge.
Na je, chanjo wanazojichanja wao ni sawa na wanazotuletea? Kama ni sawa kwa nini wanataka kujiangamiza pamoja nasi? Kama si sawa wataalamu wetu wabobezi waliobobea kwa kutumia kodi zetu wako wapi? Mbona wamekaa kimya kama vile hawahusiki! Wametuachia vipofu tuongozane kuelekea kusikojulikana!! Wanafanya hivyo kwa maslahi gani? Tunadanganywa na kudanganyana wao wanatu enjoy tu. Sitaki kuamini kwamba hawapo labda kama wameenda majuu kula bata..
 
Wewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
Hivi hoja za Gwajima ni zipi kwa maslahi ya hoja yako uliyowasilisha hapa. Achana na maoni ya mitandaoni kwanza!
 
Ushahidi aliotoa katika kamati umewekwa hadhalani au na wewe unaweweseka tu?
Kamatai imepewa ushahidi kisha ukaufunikwa na kuja na adhabu bila sisi wananchi kuambiwa askofu alikwa wapi,

Sasa wewe uliyekuwa kwenye kamati twambie alukwama wapi kwenye ushahidi?
Gwajima kawasilisha ushahidi gani mkuu kwa maslahi ya hoja ya MsemaUkweli na afya ya mjadala huu?
 
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
vizuri sana na wale 50% mpk 80% ya wamarekani ambao wamekataa kuchanjwa na sasa wanapewa mrungura ili wachanjwe
itakuwa walisikiliza legacy ya kipumbavu ya mwendazake hasa baada video yake ya papai kukutwa na Corona kusambaa sana duniani
nimekupata sana bwana mkubwa
wamarekani wanamsikiza sana magufuri
 
Back
Top Bottom