Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika!

Muda ni mwalimu wa kweli!

Serikali na Gwajboy wote wameshindwa kuthibisha wayasemayo, Ccm ni Ccm tu hawana jema kabisa kwetu.
 
Mwandishi umeandika ukweli tupu, Tena umesema, Kitendo cha wananchi wengi kuwaunga mkono kina Gwajima na kuponda maamzi ya Bunge, basi bunge lijitafakari

Ni sahihi kabisa, na ndio ukweli, uungwaji mkono huo haijalishi waliounga mkono hawana shule kama lugha ya wanaojiona wao wanaakili nyingi kuwaita wanaowaunga mkono hawana shule na sijui walifanyia wapi li search yao kubaini kwamba hao hawana shule, kumbe nao ni wajinga tu, ila ni makundi makubwa ya watu wanao waunga mkono
Na uungwaji mkono na watu wengi, haijalishi waliounga mkono huo ni watu wa aina gani, lakini ukweli ni kwamba, ni wengi, basi!

Ni lazima maamzi ya uonevu yaangaliwe kwa upya
 
Nyinyi wenye akili hebu tujibuni ukichanjwa chanjo huumwi corona na je nchi zinazo chanja mbona vifo bado viko vingi n wamechanjwa sasa kuna maana gani ya kuchanjwa kama bado nikichanjwa lazima nijikinge.
Ninaamini unahitaji majibu ya KITAALAMU na si ya "KIMSUKURE".....

Ni hivi......

Ugonjwa huu ni mpya kuwahi kuonekana.....

Wanasayansi wanapambana KUIZUIA "HILIKI" ya dunia kwa kutoa chanjo ambayo itakwenda KUMZUIA MTU kutoweza kuingia katika hali mbaya(severity) pale atakapopata maambukizi ya UVIKO yawe kwa mara ya kwanza ama kwa marudio.....

Hali mbaya hiyo hupelekea mgonjwa kulazwa vyumba vya wagonjwa mahututi...SADURUKI..... na mitungi ya gesi ya kupumulia(ICU's with ventilators)....

Hivi umeona mikusanyiko imerudi nchi za ulaya(Kombe la Euro ni ushahidi)...WATU WAMECHANJA SANA ULAYA...

Umetaja vifo vingi huko kwao....je vinatokana na wagonjwa WALIOCHANJWA NA KUPATA MAAMBUKIZI?!!
Je vinatoka kwa wagonjwa waliopata maambukizi ya kawaida na kutolazwa "vyumba vya wagonjwa mahututi...SADURUKI..."?!!!

Majibu mengi yako "biased , unsubstantial with conspiracy theories"...

N.B

UVIKO ni ugonjwa utokanao na "VIRUSI" na VIRUSI VINAJIBADILIBADILI MNO na ndio maana hata MAFUA hayana TIBA....je hakuna CHANJO DHIDI YA "INFLUENZA"?!!

TUACHE KUWASIKILIZA WAPIGA RAMLI NA "WAKUSANYA MISUKURE JUU YA PAA NA TUWASIKILIZE WATAALAMU WETU BOBEZI"

#SiempreJMT
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Wewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
sorry lakin kama ameshindwa kudhibitisha hoja zake kwa kuleta evidence? unailaum kamati?
 
Kwa hiyo unataka wakuamini wewe kwenye issue ya kisayansi wakati hujulikani!

Hakuna aliyelazimishwa kumuamini Askofu Gwajima bali nguvu ya hoja zake kama sehemu ya “sauti iliyoko nyikani”.
lakin hoja lazima zidhibitishwe na concrete evidence. kama hazina vidhibitisho ninsawa na siasa tu
 
Ili lipo wazi swala la chanjo limemuweka kinalani
askofu
kinarani kwa ujinga yes. but on thing anatakiwa ajue serikal ikiamua kumtoa hapo alipo hakuna mwananchi mwenye uwezo wa kufanya lolote. watabaki mashabiki tu lakin hatoweza kufanya lolote
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.

Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”

Muda ni mwalimu wa kweli!

Gwajima sauti ya mtanzania gani? Labda mtanzania mjinga mjinga! Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza? Gwajima ni mpiga dili tu! Samia ni number one
 
Kwa hiyo gwajima ndio msemaji wao kwenye chanjo? Hicho cheo walimpa kwa Katiba gani?

Wao ni watawaliwa tuu hakuna watakachiweza fanya,wakaulize kule Mynmar,China, Venezuela,Iran nk walichofanywa baada ya kuandamana.

Serikali inapata uhalili kupitia Bunge afu wengi ndio waamuzi.
 
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Ivi kumbe legacy za upumbavu ndio hukubalika na walio wengi eti!!?
 
Kupata takwimu ya WANANCHI WENGI HUMU MITANDAONI kuko "biased" sana......

Juzi baada ya mh.Spika kuteleza ulimi na kutamka "jina la bwana Yesu badala ya bwana Yusufu" hukohuko ulipotuchukulia TAKWIMU zako ,HAO WANANCHI USEMAO NAO WALILIPUKA kuanza kumshambulia kwa KUKOSEA KULE ijapokuwa ULIMI HAUNA MFUPA NA YEYOTE ALIYEKUWA ANAFUATILIA VYEMA MTIRIRIKO WA MAELEZO YAKE alimuelewa vyema tu......

Hizo takwimu zako unazichukua kutokana na makundi yafuatayo:

1)Wasio na uelewa mpana juu ya nchi na taasisi ya bunge la JMT

2)Vijana wa upinzani wenye kupinga kila jambo linalofanywa na utawala ulio chini ya CCM

3)Vijana walio "desperate" kimalezi ,kifikra na kimtazamo wasiojishughulisha TAFAKURI zaidi ya "KULIPUKA" katika kila jambo kuntu"substantial"....

Binafsi ninaiunga mkono KAMATI YA BUNGE YA MAADILI ,HAKI NA KINGA kwa kuwahoji akina Askofu Gwajima na kutoa MAAZIMIO YALE....

#NchiHaiendeshwiKwaMihemkoKoko
#NchiKwanza
#SiempreJMT

Hoja zangu zenye nguvu za hoja unajibu kwa mipasho ya kiCCM enezi! Unaandika kama mtu ambaye ni katibu mwenezi ndani ya CCM!

Nikupe tu taalifa kuwa ninaijua CCM zaidi ya unavyojaribu kuifahamu na sio kuijua! Sio kwamba ninakutisha bali nakujulisha ili ujue aina ya mtu unayejaribu kupambana naye kwenye hoja!
 
Ni wapumbavu tuu ujue vitu cheap na vya kijinga ndio cheap mind huwa wanashubalia ndio maana mimi napenda dikteta kama wa kina Museveni.

Ukiwa na jamii kama ya Tzn ambapo watu Wana mdomo Sana usiwape uhuru sana utakuwa huru kufanya maendeleo ya nchi.
 
Gwajima sauti ya mtanzania gani? Labda mtanzania mjinga mjinga! Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza? Gwajima ni mpiga dili tu! Samia ni number one

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza?
Vipi wewe ulithubutu kumsikiliza!? Nakumbuka alikuwa kaa la Moto la kipenzi cha mwendazake!
 
Habari za Chato? Umepotea ndugu

Chato ni wazima ndugu yangu!

Vipi? Mama yetu bado anaupiga mwingi huku ukiendelea kudemka? Au?

Sisi “Sukuma gang” kama mnavyotuita tunauangalia mchezo wa kudemka kwa mbali baada ya ninyi kumuhimiza mama atushughulikie kisawa sawa huku mkifurahia!
 
Ivi kumbe legacy za upumbavu ndio hukubalika na walio wengi eti!!?
Ndio kwa sababu hii nchi inaimani za kichawi top 5 Afrika,imeshikwa na makanisa ujasiliamali kama ya kina Gwajima,mwamposa nk na ina watu wenye elimu duni ,idadi kubwa ya maskini top 5 Afrika,around 90% wameisha la saba au hawakusoma na hata waliosomea walienda kujibia mitihani sio kuelimika thus why wakishahitimu kila kitu kinaishia hapo.

Sasa kwa hali hii unategemea nini? Ndio maana Mwendazake alifaulu kueneza propaganda na pia ccm wanafaulu kuwashika watu.
 
Kwa hiyo unataka wakuamini wewe kwenye issue ya kisayansi wakati hujulikani!

Hakuna aliyelazimishwa kumuamini Askofu Gwajima bali nguvu ya hoja zake kama sehemu ya “sauti iliyoko nyikani”.
Usipanic, sijasema waniamini mimi, issue hapa ni kumuamini mfufua misukule aliyefeli, kama ulivyo wewe.
 
Hoja zangu zenye nguvu za hoja unajibu kwa mipasho ya kiCCM enezi! Unaandika kama mtu ambaye ni katibu mwenezi ndani ya CCM!

Nikupe tu taalifa kuwa ninaijua CCM zaidi ya unavyojaribu kuifahamu na sio kuijua! Sio kwamba ninakutisha bali nakujulisha ili ujue aina ya mtu unayejaribu kupambana naye kwenye hoja!
🤣🤣Umehama kwenye HOJA KUNTU sasa umeamua KUZIKUMBATIA " grandiosity na argumentum ad hominem"?!!

TUFANYE hivi....ninakupa CHEO kikubwa mno kisichopo ndani ya CCM...cheo hicho ukubwa wake haujapatiwa jina....

Twende kihoja bwana "Mwenye cheo kikubwa kisicho na jina ndani ya CCM"....

Naam Komredi 🤣

N.B

Mimi ninaitwa Jumbe Brown na si katibu mwenezi ndani ya CCM bali mwanachama tu huku tawini kwetu 🤣
 
Sawa ila kumbe ukichanjwa bado kuumwa unaumwa ...Maana ya chanjo si ni kinga ya kuzuia ugonjwa fulani ukiingia mwilini usilete madhara sasa mbona hayo madhara ya corona bado yatatokea hata kama nimechanjwa hebu nipe elimu
Ninaamini unahitaji majibu ya KITAALAMU na si ya "KIMSUKURE".....

Ni hivi......

Ugonjwa huu ni mpya kuwahi kuonekana.....

Wanasayansi wanapambana KUIZUIA "HILIKI" ya dunia kwa kutoa chanjo ambayo itakwenda KUMZUIA MTU kutoweza kuingia katika hali mbaya(severity) pale atakapopata maambukizi ya UVIKO yawe kwa mara ya kwanza ama kwa marudio.....

Hali mbaya hiyo hupelekea mgonjwa kulazwa vyumba vya wagonjwa mahututi...SADURUKI..... na mitungi ya gesi ya kupumulia(ICU's with ventilators)....

Hivi umeona mikusanyiko imerudi nchi za ulaya(Kombe la Euro ni ushahidi)...WATU WAMECHANJA SANA ULAYA...

Umetaja vifo vingi huko kwao....je vinatokana na wagonjwa WALIOCHANJWA NA KUPATA MAAMBUKIZI?!!
Je vinatoka kwa wagonjwa waliopata maambukizi ya kawaida na kutolazwa "vyumba vya wagonjwa mahututi...SADURUKI..."?!!!

Majibu mengi yako "biased , unsubstantial with conspiracy theories"...

N.B

UVIKO ni ugonjwa utokanao na "VIRUSI" na VIRUSI VINAJIBADILIBADILI MNO na ndio maana hata MAFUA hayana TIBA....je hakuna CHANJO DHIDI YA "INFLUENZA"?!!

TUACHE KUWASIKILIZA WAPIGA RAMLI NA "WAKUSANYA MISUKURE JUU YA PAA NA TUWASIKILIZE WATAALAMU WETU BOBEZI"

#SiempreJMT
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.

Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.

Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.

Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.

Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.

Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.

VIDEO:

Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!

Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.

Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.

Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”

Muda ni mwalimu wa kweli!
Wananchi wa taifa hili pia hawajielewi,mbunge badala ya kuwapambania wananchi dhidi ya matozo ya ajabu unapiga domo juu ya chanjo na huwezi hata kuthibisha ujinga wako.

Kama hukubaliani na chanjo yatosha kuendelea na shughuli zako za kuwanyandua kondoo wa bwana,ila sasa kuacha shughuli zako na kufanya shughuli za kushutumu mambo mazito serikali juu ya chanjo hilo ni tatizo na unatakiwa udhibitiwe barabara.

Mama amrudishe kazini RC aliyepita aje kuwamiminia shaba hawa watu,hawastahili hata kuishi...
 
Back
Top Bottom