Wananchi wengi wakilipa kodi ndio wataweza kuwadhibiti viongozi wao. Lakini sio kwa nchi yetu ambayo walipakodi hawafiki hata robo ya idadi

Corporate tax? Withholding Tax, CGT n.k Mkuu cheki vyema notisi zako
Corporate tax inalipwa na makampuni,
Withholding na CGT sio kodi zinazohusu Watanzania wengi wengi walalahoi.
 
Mkuu hizo ni Abracadabra za how to rule people kwa sababu watu wengi wakijua hali halisi itakuwa manung’uniko ni mengi kila kona 😅

Nikienda nje ya mada hapa juzi nilimsikia Ramadhan Kailima wa tume ya Uchaguzi akijibu swali aliloulizwa na mtangazaji wa Radio One,
Kwa kifupi alijibu kwamba yeye anashangaa hii tume ya sasa ya Uchaguzi kuitwa tume huru japo yeye anaamini hata ile iliyokuwepo kwanza ilikuwa ni tume huru ya Uchaguzi kwa miaka yote iliyokuwepo 😂😂

Another Abracadabra ili tu kuwavunga watu wengi wasiwe walalamishi 😂😅 !

Haingii akilini kwamba bidhaa iliyolipiwa kodi sehemu mbili mpaka Tati mpaka ikamfikia mlaji naye akainunua ile bidhaa kwa bei iliyowekwa na mwenye duka ambaye atakuwa ameweka na faida yake kisha mtu aseme aliyenunua bidhaa hiyo mwishoni hajalipa kodi ila kalipia gharama tu za hiyo bidhaa 🙄

Another abracadabra 😂🙏
 
Uko sawa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…