Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Ngoja yakukute mkuu ndio utajua si hekima au la.Si hekima kuchukua sheria mkononi. Hakuna haja ya kuua huyo polidi na wala hakuna haja ya kuchoma moto kituo cha polisi.
Si hekima kuchukua sheria mkononi. Hakuna haja ya kuua huyo polidi na wala hakuna haja ya kuchoma moto kituo cha polisi.
wananchi wenye hasira wamevamia kituo cha polisi Malampaka wilaya ya Maswa kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kumuua raia katika vurugu zilizuka awali na kusababisha kifo cha raia mmoja mpaka sasa askari huyo amejifungia ndani ya kituo akijihami kwa kufyatua risasi hewani na raia nao wamezunguka kituo wakitaka kumuu au kuchoma moto kituo hicho, vurugu ni kubwa na Polisi wa Maswa hawajafika kutoa msaada.
Msaada kwa muuaji?Msaada wa nini?Ueni huyo kinyago!