Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
wananchi wenye hasira wamevamia kituo cha polisi Malampaka wilaya ya Maswa kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kumuua raia katika vurugu zilizuka awali na kusababisha kifo cha raia mmoja mpaka sasa askari huyo amejifungia ndani ya kituo akijihami kwa kufyatua risasi hewani na raia nao wamezunguka kituo wakitaka kumuu au kuchoma moto kituo hicho, vurugu ni kubwa na Polisi wa Maswa hawajafika kutoa msaada.