Wananchi wenye hasira wavamia kituo cha polisi malampaka

Wananchi wenye hasira wavamia kituo cha polisi malampaka

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
728
wananchi wenye hasira wamevamia kituo cha polisi Malampaka wilaya ya Maswa kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kumuua raia katika vurugu zilizuka awali na kusababisha kifo cha raia mmoja mpaka sasa askari huyo amejifungia ndani ya kituo akijihami kwa kufyatua risasi hewani na raia nao wamezunguka kituo wakitaka kumuu au kuchoma moto kituo hicho, vurugu ni kubwa na Polisi wa Maswa hawajafika kutoa msaada.
 
Katika mabadiliko selikali imeachwa nyuma na raia, hapo zamani polisi angeua ktk mazinira ya kujiami au ya ubabe tu na raia wange kaa kimya. Sasa hivi ni kinyume chake
 
Si hekima kuchukua sheria mkononi. Hakuna haja ya kuua huyo polidi na wala hakuna haja ya kuchoma moto kituo cha polisi.
 
hatuta chukua sheria mkononi kama mtatuthibitishia kua hatua dhidi ya huyo polisi zitachukuliwa bila kuundwa kwa kamati maana mara kwa mara polis wakifanya kosa huwa panaundwa kamati inayofanya kazi kama mahakama na wananchi hatujuzwi matokeo yake
 
Nini chanzo mpaka akapigwa risasi ebu twambieni!
Isije yakawa mmesikia mwizi then nanyi mnaunga mkono kumpiga mkihulizwa kaiba nini hakuna anayejuwa!
 
Mrusha thread naona kapitiwa na bila shaka akirudi atatujuza hali iliyokuwa na ilipoisha.
Ama nina hofu kaishiwa na chaji.
 
sisupport watu kujichukulia sheria mkononi ila hii inaonesha ni yale watu wanaona tukio linatokea wanaona hawajatendewa haki wenye mammlaka wamenyamaza kimya, hawachukui hatua matokeo ndio huwa ya namna hyo, usidhan huko kwengine wanakouana wao ni wendawazim na hayawez kufika hapa kwetu, maswala ya kupuuzia mambo yanayowagusa watu huwa ndio yanayoamsha hasira na chuki, mi nadhan wahusika waangaliea alama za nyakati,
 
wananchi wenye hasira wamevamia kituo cha polisi Malampaka wilaya ya Maswa kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kumuua raia katika vurugu zilizuka awali na kusababisha kifo cha raia mmoja mpaka sasa askari huyo amejifungia ndani ya kituo akijihami kwa kufyatua risasi hewani na raia nao wamezunguka kituo wakitaka kumuu au kuchoma moto kituo hicho, vurugu ni kubwa na Polisi wa Maswa hawajafika kutoa msaada.

Msaada kwa muuaji?Msaada wa nini?Ueni huyo kinyago!
 
huchelewi kuitwa mchochezi, ila wakiweza wachome moto tu
 
Back
Top Bottom