Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu,

Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu.

Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya msingi.

View attachment 3377038
Ukabila Tanzania ukishafutwa

Mpina kama anaendekeza ukabila ajue chake hana

Jimbo la kisesa wakazi wake sio wasukuma tu
 
Wakuu,

Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu.

Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya msingi.

Pia soma: Rais Samia hataki Wabunge wa CCM wanaomchalenji? apaniki baada ya Luhaga Mpina kumwambia ''Kisesa tunakudai''

View attachment 3377038
Waongee kisukuma tuwasikie
 
When a girl gets pregnant, all her friends touch her stomach and say "congrats" but none of them come and touch the man's pen*s and say "well done". Moral: hardwork is never appreciated. Only the results matter.😊
Sa mbona kwa girl hawatach papuch wanatach tumbo. Kwanini sisi watutach vifanyio.

Watachi kidevu au kichwa.

BTW nimependa hitimisho. Matokeooo

Huwa watu wanaangalia matokeo. Haijalishi mlilombana mara ngapi
 
When a girl gets pregnant, all her friends touch her stomach and say "congrats" but none of them come and touch the man's pen*s and say "well done". Moral: hardwork is never appreciated. Only the results matter.😊
Pumbavu kwahiyo mshedede usiwe ukiwa umesinyaa au umeumka?😂😂
 
Mpina hajakosea popote kamwe, sema tu tupo na mihemuko
Wakuu,

Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu.

Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya msingi.

Pia soma: Rais Samia hataki Wabunge wa CCM wanaomchalenji? apaniki baada ya Luhaga Mpina kumwambia ''Kisesa tunakudai''

View attachment 3377038
 
Wakuu,

Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu.

Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya msingi.

Pia soma: Rais Samia hataki Wabunge wa CCM wanaomchalenji? apaniki baada ya Luhaga Mpina kumwambia ''Kisesa tunakudai''

View attachment 3377038
Isije kuwa hiyo pesa ni ile itokanayo na ya mikopo.
 
Back
Top Bottom