Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 266
Lakini nani wa kusema HAPANA? Yaani wewe ukitokewa huwezi kukataa?ndoa nyingi sana zinamatatizo na visababishi ni wanaume,hivi inakuwaje mwanaume anajua fika huyu ni mke wa mtu na wewe unamtokea?wewe unajua una mke iweje umtokee msichana tena kabinti kadogo? iweje wewe unagirl friend wako na bado unawatokea wengine? mimi bwana tatizo kubwa ni kina baba,hata wasichana wanao jiuuza,wanajiuza kwa sababu wanaume wapo wanao nunua