Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Kwenda kusalimia tuKusema ni sawa ama sio sawa sio vyema kwa kua upande wa pili hatuja sikia hoja zake.
Unaweza kuwa na sababu za kumlaumu huyo mwaume kufanya hivyo lakini huyo mwanaume akawa na sababu yenye hoja zaidi kwa kufanya hivyo.
Pole lakini, ujaliwe kujifungua salama.
Miez 8inategemea mimba ina miezi mingapi kama
mitano au sita kwenda juu ni SAWA
Sasa kusalimia si kawaida tu, ulitaka asiemde kusalimia, anajua atarud na ukishajifungua hatapata hiyo nafas tena.Kwenda kusalimia tu