Wanandoa hii imekaaje?

Wanandoa hii imekaaje?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Ewe mwanaume nisawa umepata likizo kazini ukaenda kwenu ukamucha mkeo Mjamzito Afya yake sio nzuri sana na watoto wadogo?? Hii imekaaje?
 
Kusema ni sawa ama sio sawa sio vyema kwa kua upande wa pili hatuja sikia hoja zake.
Unaweza kuwa na sababu za kumlaumu huyo mwaume kufanya hivyo lakini huyo mwanaume akawa na sababu yenye hoja zaidi kwa kufanya hivyo.

Pole lakini, ujaliwe kujifungua salama.
 
Kwenda kusalimia tu
 
Kwenda kusalimia tu
Sasa kusalimia si kawaida tu, ulitaka asiemde kusalimia, anajua atarud na ukishajifungua hatapata hiyo nafas tena.
Kwani anavyokendaga kazini daily si ni kama ambavyo amekuacha tu? Tofaut nikwamba hizo siku nyingine anarud jion na sasa harud kwa siku kadhaa basi !!!!!
 
Back
Top Bottom