RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
kwa kifupi tu ni kwambaKwa nn wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa! Lakini
Akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea.
Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi....Hapana.
WAUME WA NDOA HUWA HAWAWATUNZI WAKE ZAO