Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Hii Kwa wanandoa walioana wakala kiapo na kuvalishana Pete madhabahuni.
Biblia inasema apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali Kwa Bwana, Mwanaume unapooa mke sahihi Mungu hua anaachilia baraka zake Mke ni kibali/Baraka ndomana Kuna watu wengi wakishaoa mambo Yao hua Yanakwenda vizuri milango ya baraka inafunguka uchumi Yani ni kufanikiwa tu.
Mume tambua baraka zako ziko Kwa mke wako ndomana unakuta mkigombana ndani ya nyumba basi mambo yanakua hayaendii kama ni biashara hakuna kitu yaani baraka zinafungwa nna shuhuda Kwa watu watu washkaj zangu wameyumba vibaya sababu ya magomvi na migogoro kwenye ndoa.
Niwaombe tu mlioko ndoani kaeni Kwa amani na kutafuta sana amani na wake zenu ili mzidi kufanikiwa na baraka za Mungu ziendelee kuishi kati yenu.
God is light and the light can't stay together with darkness hua vinajitenga always kama yeye alivotenganisha usiku na mchana vivo hivyo baraka za Mungu haziwez kukaa sehem yenye Giza or darkness nkimaanisha magomvi, kutukanana, kupigana, kuumizana, uzinzi na mambo kama hayo