Wanandoa na usingizi . . . . .!!

Wanandoa na usingizi . . . . .!!

Ila kaushuzi kako kananukaga mhhh!Tatizo lako unakula mno maharage!

si ulisema ni perfume au?
Na weye uwe unaacha pesa ya mboga ya kutosha yaani beans 7 days of the week; kha!
 
Sasa sweetie,si uliniambia ukila nyama utaota kitambi na shape yako itaharibika?Au umesahau?
 
Back
Top Bottom