Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Nikisema hapa tuvue mashati, kila mtu aangalie mgongo wa mwenzake, tutakimbiana jinsi kulivyo na taka, sababu mikono yetu haifiki huko katika kujisugua.
Mwenye uwezo wa kukusugua ni mkeo peke yake, sasa jaribu kumwambie mke wangu twende tukaoge wote, au njoo nisugue mgongo uone atakavyokukwepa, bila kujua ni sunna katika dini zingine kuoga pamoja, hata mitume wa Mungu walifanya hivyo.