majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Nilinunua moja la kufanana hivyo pale Mlimani city ndani mle kuna duka sikumbuki jina vizuri (Warong kama sikosei). Ila kuna aina nyingi za blush za kuogea. ukikosa unaweza tumia mifuko ile wanauziaga machungwa chalinze au Segera 😀 inasugua vizuri tu. au tengeneza kisalfet.YAnauzwa wapi hyo