Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Mkuu, unaishi kwenye dunia yako au dunia hiihii ambayo na mimi nimo?Nikisema hapa tuvua mashati kila mtu aangalie mgongo wa mwenzake tutakimbiana...
Ahsante doktaUngeibalance mada kwa kuuliza "enyi Wanandoa ni lini mmeoga pamoja na kusuguana migongo?....
Wanaume tuko simple sana kwa hilo,sizani kama mke ataanda maji halafu akamwambia mmewe tukaoge,halafu mume akakataaUngeibalance mada kwa kuuliza "enyi Wanandoa ni lini mmeoga pamoja na kusuguana migongo?"
Wewe umeigemeza kwa Mwanamke kama vile ni jukumu la Mwanamke kusugua mgongo wa Mwanaume na wake usuguliwe na nani???
Mkiambiwa muwalipe mishahara wake zenu mnapanic ila kila kitu mnawasukumia wao.
Unafanya kosa,huyo ni mwanamke kati ya wachache wanaojua wajibu waoKwa jinsi maisha yansvyoniendesha mbioo najikuta cn mda uwo ingawa wife siku kibao anatak tuoge pmj sema me nakataa ili kuwahi mishe zng jap mara moja moja tunaoga pmj
kosa gan mkuuUnafanya kosa,huyo ni mwanamke kati ya wachache wanaojua wajibu wao
YAnauzwa wapi hyoView attachment 2714563
KWANI LAZIMA USUGULIWE NA MTU...... NI UCHAFU TU UNAWASUMBUA.
JanaNikisema hapa tuvue mashati, kila mtu aangalie mgongo wa mwenzake, tutakimbiana jinsi kulivyo na taka, sababu mikono yetu haifiki huko katika kujisugua.
Mwenye uwezo wa kukusugua ni mkeo peke yake, sasa jaribu kumwambie mke wangu twende tukaoge wote, au njoo nisugue mgongo uone atakavyokukwepa, bila kujua ni sunna katika dini zingine kuoga pamoja, hata mitume wa Mungu walifanya hivyo.
Inabidi umkublie,kumkatalia kwa namna mmoja unamkwaza,mwenzako anata ukamsugue mgongonikosa gan mkuu
😂😂🤣🤣🤣umewaza nn mwanandoa alasiri hii?
Mkeo huwa hakuogeshi?
Piga chini huyo hajui kazi yake,eboh adhan kaja kwako kula bure tu 🤣
We mwenzangu unasuguliwa mgongoni?hongera bwana🤣🤣🤣umewaza nn mwanandoa alasiri hii?
Mkeo huwa hakuogeshi?
Piga chini huyo hajui kazi yake,eboh adhan kaja kwako kula bure tu 🤣
Nasuguliwa na Nani?najisugua mwenyewe babu weehWe mwenzangu unasuguliwa mgongoni?hongera bwana