Wanandoa ni lini mmeoga pamoja na kusuguana migongo?

YAnauzwa wapi hyo
Nilinunua moja la kufanana hivyo pale Mlimani city ndani mle kuna duka sikumbuki jina vizuri (Warong kama sikosei). Ila kuna aina nyingi za blush za kuogea. ukikosa unaweza tumia mifuko ile wanauziaga machungwa chalinze au Segera 😀 inasugua vizuri tu. au tengeneza kisalfet.
 
Umenikumbusha mbali nilikuwa na mtoto wa mtu sijui ndo mke wa mtu mtarajiwa bas bhn tulikuwa tukienda bafuni tunaogeshana tunasuguana had raha atakayemuoa waendelee tu na hio kweli atakuwa amepata mke 😀😀
 
Wewe bachera?
 
Mkuu, unaishi kwenye dunia yako au dunia hiihii ambayo na mimi nimo?

Siku hizi kuna madodoki yanafika mpaka mgongoni. Nimeshangaa sana ulivyosema mtu anaweza kuwa na taka mgongoni!
Umeniwahi mkuu, nilitaka nimfumbue akili. Itakuwa yupo Dunia nyingine huyu
 
Ninalo langu nilinunua buku linamaliza mwaka...lipo vzuri linafuta hadi dhambi
 
Ninalo langu nilinunua buku linamaliza mwaka...lipo vzuri linafuta hadi dhambi
 
Mnaoga pamoja kwenye bafu lipi? Nyumba za kupanga, au umejenga kapango kako bafu kama uchochoro. Na unaoga na mwanamke yupi ambaye ulimuandaa mazingira hayo toka lini. Hivi vitu vinahitaji nafasi, na muwe mnapendana kweli sio kukurupuka njoo nisugue mgongo lazima akukwepe
 
Nenda kwenye Masaji kusuguliwa mgongo na kunyooshwa mgongo.

Usisahau scrub kusafisha taka za usoni.
 
Kama vile unamvomuandaga mwenzako kabla ya mechi ndivyo ilivyo rahisi kuoga pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…