Fedha za familia ni zipi? Zza mke au mme au wote wawili? Je siku zoteYapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.
Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless
Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
Iko hivyo hata kama hakuna wageni? Na ushirikishwaji maana yake nini? Ni kujadili na kupiga kura? Kama msimamo ni 50% kwa 50%? Je kiongozi wa hiyo familia ni nani? Familia nyingi zina anarchy kutokana kuingizwa ujuaji mwingi.